Huntsman
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 648
- 621
Mkuu soma ushauri wangu pia hapo juu post [HASHTAG]#555[/HASHTAG]. Nakuhakikishia utakuwa huru.Ahsante kwa ushauri mkuu.
Nakuhakikishia naufanyia kazi.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ahsante sana.
Mkuu soma ushauri wangu pia hapo juu post [HASHTAG]#555[/HASHTAG]. Nakuhakikishia utakuwa huru.Ahsante kwa ushauri mkuu.
Nakuhakikishia naufanyia kazi.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ahsante sana.
Polee rudi kwa mora wako nae ni mwingi Wa rehama atakusamehe madhali umeshaanza kujitafakali hii ni ishara tosha ya kutubuNajuta kujiunga na madhehebu ya kishetani kwa ajili ya kupata utajiri.
Nimeshatoa kafara ndugu zangu wawili ( 02 ) mpaka sasa.
Najutaaaaa roho inaniuma sana, na siwezi kutoka kwenye hii dhehebu ya kishetani.
Hii ni siri yangu ya muda mrefu unao uchoma na kuumiza moyo wangu.
Pole sana sijui utafanyaje mitihani ya maisha ni changamoto nafsi zinatuangamizaNi kutokana shida, dhiki, manynyaso
Mateso,kejeli.....shida za hapa na pale
Kwa bahati mbaya nikapata ushauri
Kwa rafiki yangu ambaye alikuwa amejiunga na dhehebu ya kishetani
Inaitwa CHURCH OF SATAN/LUCIFER
ambayo makao makuu yapo marekani
Jimbo la network, ilianzishwa 30 /04/ 1966. ambayo kwa jina lingine wanaita THE BLACK HOUSE.
kwa sisi wafuasi wa hili dhehebu huwa
Tunaliita THE BLACK FLAME au THE CLOVE HOOF.
hii dhehebu haina tofauti sana na dhehebu ya ILLUMINATI,
Na kuna kitu watu hawajui, watu wengi ulimwenguni wamezoea kusikia madhehebu ya kishetani aina mbili ambayo ni FREEMASON na ILLUMINATI
lakini kumbuka kuna madhehebu ya kishetani yapatao 30 na zaidi.
( kutokana na masharti sitayataja )
Rafiki yangu aliunganishwa na mzungu
Ambaye ni raia wa marekani, na alinishawishi kwa muda mrefu kujiunga na dhehebu hili, nami nilikataa lakini baadae uvumilivu ulinishinda kutokana kwamba alikuwa akinishawishi kupitia kunipa fedha, kunipa million 2 kwake ilikuwa kawaida, kweli pesa shetani
Nikashawishika na kutaka kujiunga alifurahi mno na kupanga safari kuelekea marekani kwa ajili ya kuunganishwa na kuapishwa kuwa muumini wa dhehebu hilo la kishetani
Nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa na baada ya hapo nikawa tajiri na masharti ya kafara yalipangwa,
Hayo ndio maisha niliyopitia hadi sasa
Ninao utajiri Mali za kutosha lakini moyo unauma kwa kutoa ndugu zangu kafara, tena ni kafara mbaya sikuwahi kuona duniani.
Na cha ajabu huwezi kujitoa kujitoa kwake ni lazima ufe ni lazima ulionje mauti. Na adhabu inapewa kuzimu.
Sitaki kuongea sana kwa sababu sheria na kanuni za the black house hairuhusu
Kuzungumzia kwa undani suala hili.
Nafikiri umenipa mkuu.........
[emoji17] [emoji25] [emoji29] [emoji29]
Story yako imenitoa machozi polee sana maagano yanakutesa na kuumiza ebujaribu kujitoa muanga kutubu kwa imani yako mwenyezimungu mwingi Wa rehema atakujalia utopata madhala Mali rudisha na uwe mwalimu kwa wengine mwenyezimungu atakusimamia inshaallah!Amen [emoji120] [emoji120]
Endelea kuniombea na usiache kuniombea ili nije kuachana hizi roho za kishetani.
Pray for me kwa jinsi unavyoweza.....
Unaye huyo chura hadi leo?fanya utafiti kwa wanafunzi wenye chura urefu wa sheti yake mbele na nyuma ndo uje a huo mshangao.
Na bado unaendelea au...?kuanza kutiwa kabla ya ndoa
Muwe mnapunguza Ukali wa Maneno Jaman Mim Bado Mtt aakuanza kutiwa kabla ya ndoa
Kwa kumbe unajutia? Hutuombei tufe kweli wewe tuliokufanya kwbla ya ndoa? Uliueolewa naye si na yeye alikugegeda kabla ya ndoa? Baba Jesca alisema makaburi mengine hawezi yafukua... na wewe hili usingelifukua banaakuanza kutiwa kabla ya ndoa
hiyo hapana, naiogopa sana aisee0713 pia ?? [emoji23][emoji23]
Mama Kijachokuanza kutiwa kabla ya ndoa
We jamaa wewe ,you made my day wallahkusoma miaka mingi, alafu matokeo ni upuuzi mtupu.
Ahahahahahaaa haya banaa..... na kweli maana limeshaanza kutoa hatufu mbayaUsifukue hilo kaburi