Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee pole sana mkuu...!! Binti wa watu alijitoa kumbe bado kijana unachovya chovyaa...
 
Why umuache unaemfahamu miaka yote kisa mimba ya mwingne uliekutana nae jana...!! Hilo lilikuwa kosaa
 
Utunzi mzuri.
 
Kinachokufanya ujute ni msuli wa PURE MATH'S au UNAOGOPA ENGINEERING? Au unapenda udaktari?
Najuta kuhama PCB kwenda PCM. Mpaka sasa najuta, ipo siku nitasahau najua
 
Chuo kikuu gani hawataki diploma?
 
Chuo kikuu gani hawataki diploma?
 
Chuo kikuu gani hawataki diploma?
 
...Natumaini kuwa huu ni mzaha wa kufurahisha Baraza.
Kama ni ukweli, Pole zako.
Je Utajiri uliotaka Uliupata??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…