Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Jionge
ze mzee baba..bas amebadili id hata mm sikua najua😊😊
badili king'amuzi..unatumia kinachochelewa kushika mawimbi Njoo DSTV yani kiki happen kitu hapo hapo unajua πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Unashtuka leo wenzako wako season 4 we bado unatafuta season 2 ep ya 3 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha nadhan Ting hainifai..sikujua kbs..kwanza ndo naliona jana hili jina..lol...i miss u rafiki mtukutu😎
 
Alikuwa mnene asiyejiweza (kujizuia na kujiinua) au ulimng'ang'ania?
 
dah touching story, hapo ningelia tu aisee
 
Hahaha nadhan Ting hainifai..sikujua kbs..kwanza ndo naliona jana hili jina..lol...i miss u rafiki mtukutu😎
tunapishanaga tu mtaani nkawa najiuliza kulikoni huyu ndugu hanisalimiii siku hz? kumbe maskini alikua hajajua nani jamaniiiiii Natumia RAV 4 sku hzi nshahama kwenye starlet sku mingiiiiiiiπŸ˜›πŸ˜›
 
😊😊😊 Haya mzee wa perimeter...mm nipo tu...nasubiria ujio wa tar7.9..wa Raisi wetu Tundu Antipas Lissu
 
Tungekua nyumba moja hyo siku ningehakikisha naku keep busy yani ntahakikisha hupat hata time ya kuskiliza radio...sema basi tu Japo pia maombi yangu yataweza fanikisha hilo..Rais wa nini huyo eti mzee wa nywele za mkono hu hu hu
 
hahahaa...hujanishawishi kwakweli...dah....nakuchukia hapo tu😣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa naomba uweke akilini mwako tar 5 nitakushtua..nakupitia...nahis upo dar..lazma ukampokee...haiwwzekan Raisi ajaye usimpokee
mimi Huyu unipitie?? labda uje kama kawaida yako Ile mida tumelala Huko juu ya BATI ila sio nikiwa macho..ntavyokufungulia hawa Mbuzi wakufukuze hutoaminiπŸ˜‰πŸ˜‰
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Maccm bwana..hayafai...bas mm nitaenda kumpokea..ww bak na mbuzi zako..au nipe m1 wa kupeleka zawadi mzee baba😎
 
kapo bandani kamoja kanaumwa umwa sjui katakua na dengue..nadhani badala ya kuchinjia mbwa itabidi nimuweke reserve..Uje mpitie mkamchinjie supu rais apate ma afya kama wewe hapooo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…