Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

kumsomesha demu wangu mpaka kamaliza matokeo yake ile kumaliza tu. naletewa kadi ya mwaliko wa harusi. sito msamehe hadi kufa.
Msamehe tu jamani..mbona wanawake wako wengi tu? Wazuri, waliosoma, wenye kipato...ni rahisi kumsahau huyo demu
 
Kosa ninalojutia kozi niliyosomea najuta sio sir nilitembea kutafuta kaz mpk bahasha ilikuwa inachanika kwa jasho la mkono ila sikupata na mpk sasa niliamua kuachana na hizo habar nikaamua kujiajir tu
 
Hongera kwa mleta uzi huu kwani watu wengi wamefunguka na kujifunza mengi kutoka kwa members tofautitofauti
maana tumeaminishwa kuwa "JIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA" NA NAMI NAONGEZEA "JIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA HATA KAMA HUKULIFANYA WEWE IKIWA AMEFANYA MWENZIO"
 
najuta kumgegeda mamaang mdogo yaan mdogo wa mama toka ntoke ambae alkua mkubwa kiumri n above 40 m n 23, kpnd hicho m nlikua na 17, ye mwenyewe alinianza kila nkikutana nae najckia vbaya sana. NAJUTA NAJUTA NAJUTA
 

Nilimkuta Demu wangu anabanduliwa mubashara nami nikaomba kolabo kwa Mgoni wangu huku nikiwa nimemkata Jamaa ( mgoni ) wangu Shingoni kusudi nikimaliza " kumbandua " Demu wangu niweze kupambana nae lakini kadri nilivyokuwa nauchomeka " mkuyenge " wangu kwa Demu wangu nikajikuta utamu unazidi na mwenyewe kumwachia Jamaa na kumruhusu aondoke zake tu na kumkanya asirudie tena siku nyingine. Nakijutia sikijutii hiki kitendo.
 
Kwanza najuta kwa kupambana na somo ambalo nilikuwa siliwezi tangu form one lakini kwa kutolikatia tamaa nikapata A necta form 2 peke yangu nilipoingia form 3 walimu na mzazi wangu wakanishikiza nisome arts na huo ndo ukawa mwisho wa ndoto zangu za kuwa engineer

Pili najuta kwa kusoma kwa nguvu zangu zote form 4 kwani nilifaulu sana na kupangiwa kipaji wakati uwezo wangu ni kusoma shule za kata nikaishia kuonekana kilaza na kuwasindikiza wezangu
 
Siku moja alikuja mgeni nyumbani kaacha ufunguo wa gari yake mezani mimi huyo nikajibeba kwenda kuendesha gari wakati huo hata gari sijawai kuendesha dah dah niliibamiza ile gari hovyo hovyo hile ichi kitendo nikikumbuka uwaga naisi ilikuwa ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…