Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
kapo bandani kamoja kanaumwa umwa sjui katakua na dengue..nadhani badala ya kuchinjia mbwa itabidi nimuweke reserve..Uje mpitie mkamchinjie supu rais apate ma afya kama wewe hapooo π π π
Humpendi Rais wako kumbe..shauri ako! huo utaratibu wa kuanza kupitisha kibakuli cha michango umeuanza lini? ktk mtendaji wenu anajua hiki unachonambia? Saivi tunajua wote wazima hamu umwi hata mafua Hela zetu hamzpati ng'o pambaneni tu na hali zenu.Una jini kisirani kwel ww .khaa yaan mbuzi ana dengi alafu tumpe TL??^hahhaa huna haya...!huyo tumpe JOB....!Basi andaa hata kahela ka uchakavu nitafikisha kwenye ofisi kuu za chademaπ
Mkuu nipe shavu kwa wahindi hao hao nipambane naoKuhusu coz hapo tuko pa1,nmesoma mechanical engineer,kla interview nafeli,nkibahatka,kupata kaz n kwa wahindi kiwandan,sna ham na wahindi,cjui niende gereji tu,nkalipwe 1oooo
Humpendi Rais wako kumbe..shauri ako! huo utaratibu wa kuanza kupitisha kibakuli cha michango umeuanza lini? ktk mtendaji wenu anajua hiki unachonambia? Saivi tunajua wote wazima hamu umwi hata mafua Hela zetu hamzpati ng'o pambaneni tu na hali zenu.
Mi kwa kwel najuta kusom cozi y hr ambpo huu mwaka4 sina kazi. .. wkt nilikuww na ndoto za kuwa engineer.!
Hamia mapema kabisa na ukifika kule wambie unataka kabila la OVAHIMBA halafu wakishakueleza na kukufundisha tamaduni zao..nishtue kwenye namba zangu zasimu zile zile.πππππππππ!...hufai kbs ww..!Mimi bahati mbaya sina Raisi..na jana nimesikia deal la kuhamia NAMIBIA..chek kuna uzi huku...ndo najiandaa kuhamia hukooo
Hamia mapema kabisa na ukifika kule wambie unataka kabila la OVAHIMBA halafu wakishakueleza na kukufundisha tamaduni zao..nishtue kwenye namba zangu zasimu zile zile.
siku inayofata Mimi ntakua mgeni hapo kwakoπππ
safari ya kule unipitie Ruksa kabisa π ..ila hii safari ya kwenda kumpokea mropokaji Niache kidogoππππππ..Ss mm kule nitabadili kidg mila zao..KAUCHAKAVU NI MUHIMUπππ..πππ....hahahhaa nadhan had august nitakuwa kule aisee...raha zingine bora kujiongezaπ
safari ya kule unipitie Ruksa kabisa π ..ila hii safari ya kwenda kumpokea mropokaji Niache kidogo
twende tukafuturu zetu mwaya maana limbwata ulilolishwa sio la nchi hiiii litakua limetoka Namibia....Hvi ww hujui nguvu ya mwanamke eh??hujui sisi tuna nguvu za asili...!yaan ww utabeba bango langu bila kupenda...hahhaa..Yaan ww eapot nipo na ww .tena nitashauri uvae tsht zitakazo uzwa pale saafi!mm nikitaka kitu kwa men kwakwl sishindwiiiπ..Lissu ndo msemaji wetu kwasasa mataifa ya mbali..!hajakatwa mkiaπ
twende tukafuturu zetu mwaya maana limbwata ulilolishwa sio la nchi hiiii litakua limetoka Namibia....
sio hzo tisheti tu ila nguo yyte yenye rangi ya bendera yenu huwa naipitaga kama siioni...
Nguvu yenu ipo Jioni kuanzia saa 1jioni to 1asubuhi baada ya hapo Ni wanaume tu wanaotamba kwenye kila kitu π π π
kwakweli ntakula zamu yako...na usijiloge ntumia picha na gwanda maana ntavyoi edit nikuvalishe Gwanda zetu hutoamini na watakuita msaliti we subiria..πππKanifuturie na mm..!naandaa dawa yako ww...nitakutumia picha nikiwa na magwandaππ...
Nikiwa O level teacher kanigegeda ofisini usiku, it was so sad.
kwakweli ntakula zamu yako...na usijiloge ntumia picha na gwanda maana ntavyoi edit nikuvalishe Gwanda zetu hutoamini na watakuita msaliti we subiria..
Ya gwaji BOY si mlisema ime editiwa? sasa hiyo yako ntaiediti kweliiii na Bendera ya chama ntakushikisha...na ndio itakua DP YANGU π π π
Kupata ffffff 4m4Katika maisha yako huenda kuna kosa moja ulilotenda ambalo unajutia kulifanya na kama ungepewa nafasi usingerudia tena.
Mimi katika maisha yangu kosa kubwa nililotenda na ambalo nitalijutia katika maisha yangu yote ni kuchelewa kuanza shule. Nimeanza darasa la kwanza nikiwa na umri wa miaka 12 na kuhitmu darasa la saba nikiwa na umri wa miaka 19. Baada ya kuhitimu s/msingi nikakaa kwa muda wa miaka 6 kabla sijarudi shule tena na kurudia darasa la saba. Hapa nilikuwa na umri wa miaka 25. Kwa bahati nzuri nikafaulu kwenda sekondari na kuanza kidato cha kwanza nikiwa na umri wa miaka 26. Bahati nzuri ni kwamba zamani hakukuwa na age sealing. Ingekuwa zama hizi nisingeruhusiwa kusoma shule. Namshukuru Mwalimu Nyerere kwa kuondoa ubaguzi wa kiumri kwenye elimu.
Nimesoma hivyo hivyo nikiwa babu hadi nimehitimu kidato cha sita. Kosa la pili ambalo nalijutia ni kusoma kozi ya ajabu ajabu ambayo haina tija wala mantiki ya kimaisha. Kama umri ungekuwa unaweza kurudishwa nyuma nikarudi kuwa mvulana kamwe nisingesoma kozi hii niliyosoma. Ningejitahidi nisomee udaktari au sheria.
Je, kuna kosa gani ulilotenda katika maisha yako ambalo litaendelea kukutesa maisha yako yote na ambalo usingependa kulirudia kama ungepewa nafasi ya kujisahihisha?
Habari hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa YouTube.
Kuona kipindi hicho angalia video ifuatayo, acha maoni yako na kisha Subscribe kwenye Channel ya JamiiForums.
Kwani alikubaka si nawe uliinjoi? Kama kulikuwa na makubaliano kabla ya mtombano huo, hakuna cha kujutia hapo mkuu. Na je, baada ya kukutia huo mtombo wa kwanza alinogewa na kuendelea kukugegeda hadi unamaliza shule au ilikuwaje?Nikiwa O level teacher kanigegeda ofisini usiku, it was so sad.
Nawe ulikuwa sitaki-nataka, si ungekataa na kupiga kelele? Itakuwa mlifikia makubaliano ya kutiana bila shaka.