Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Mkuu pole sana. Anyway, life goes on!!!
 
Niliachana na msichana niyempenda nae akanipenda lakini nikawa na dharau. Mpaka leo miaka kama kumi sjapata wife material.
 
Du pole sana mkuu, majuto ni mjukuu lakini maisha lazima yasonge, whatsoever.
 
Du mkuu pole sana kwa masaibu hayo makubwa. Kwa kweli kubambwa kama huku kunashtua sana, hasa kwa mtu unayemuamini. Mtakumbuka yule mzee aliyemfumania mkewe akitombwa na jamaa ndani ya nyumba yake na kwenye kitanda cha ndoa (matrimonial bed) alivyopatwa na presha hadi akalazwa. Inauma sana.
 
Mm kosa ninalojutia hadi Leo ni kuzaa na binti Fulani ambae sikumpenda kabisa yaan alinishawishi nizae nae na aliahidi kabisa hatanisumbua kwenye suala la ndoa na malezi ya mtoto coz ni mtumishi Wa serikali ,yeye aliomba tu azae na mm mengine atajua mwenyewe ,kwel nam nikaingia kichwa kichwa nikampa mimba akazaaa,sasa tokea azae aiseee yaan kanigeuka jumla ,ndugu zake full vitisho na vibweka vya kila namna yaan hili swala linaniumiza sana kichwa na najutia sana kuzaaa na yule mwanamke ,inafikia wakat hadi nawaza kufanya ushetani ili niondokane na adha ya kuwa mzaz mwenza na huyo mwanamke ila pia huruma inanijia najikuta naacha kufikiria hilo jambo ,kiukwel hili swala nalijutia sana
 
Najutia kuna kama vipindi viwili tofauti kwa kazi mbili tofauti nimewahi kukatia pesa ambazo sikua na kazi nazo na zilipeperuka kusipo kua na kazi ila kwa ss nipo kwenye stream inayo hitaji pesa kwa udi na uvumba na sina la kufanya zaidi ya kuzingumbuka na kusema laiti kama ndio zingekuwepo sshv sijui ingekuaje nadhani ningefanya mengi tofauti na yalivyo takiwa kuwa
 
Pole sana mkuu....wanawake wote ni wa ovyo sana, sio wa kwako tu.
 
Pole sana mkuu....wanawake wote ni wa ovyo sana, sio wa kwako tu.
Sio kwamba kila mwanamke ni wa ovyo kumbuka hakuna mkamilifu hapa duniani wote tumepungukiwa na utukufu wa Msingi ,kuna wanaume wapo na tabia za ovyo tunachagua watu wa ovyo hicho kinatuponza. Cha msingi kwenye suala la kutafuta mke, mke mwema hutoka kwa Bwana, mwmini Mungu atafanya maajabu
 
Kutosoma kwa bidii o level nikafail, sasa sijui ni kosa langu au nikuchelewa kupevuka akili.
Sio wewe tu, wapo wengi wanaobarehe wakiwa O level na kuwawia vigumu kuzingatia masomo. Ipo haja ya serikali kuangalia upya umri wa kuanza shule....ikibidi umri wa kuanza darasa la kwanza uongezwe hadi miaka 10. Vijana wengi waliopo sekondari wanashindwa kufuatilia masomo kwa sababu ya utoto.
 
Ila wanawake ni vinyonga sana I see. Wakati wa uchumba anakuwa na rangi nyingine lakini akishaolewa anabadili rangi. Wanawake ni watu wa ovyo sana.
 
Sasa bro kwa akili yako yakuzaliwa ulitegemea uzae na mtu halaf umuache tu bila kuhudumia mimba tena damu yako.? Ebu kaa dakika 10 ujitafakari kidogo uone ujinga wako!
 
Sasa bro kwa akili yako yakuzaliwa ulitegemea uzae na mtu halaf umuache tu bila kuhudumia mimba tena damu yako.? Ebu kaa dakika 10 ujitafakari kidogo uone ujinga wako!
Mkuu rudia kusoma tena alichoandika utaelewa makubaliano yalikuwaje kabla ya kuzaa:

1. Mwanamke aliomba azalishwe na kwamba mtoto atamlea mwenyewe kwa gharama zake....yeye alichotaka ni mtoto, kulea atalea mwenyewe. Na huenda mzalishaji (mume) hakuwa amejipanga kuhudumia mke na mtoto kwa wakati huo....yeye alikubali kuzalisha kwa kuwa alipewa uhakika wa kutobanwa kwenye matunzo.

2. Haya yalikuwa makubaliano kati ya watu wawili (mzalishaji na mzaaji) lakini baada ya kujifungua hadi ndugu wanashirikishwa kumbana mzalishaji (na kibaya zaidi hakukuwa na makubaliano kwa mzalishaji kulea mtoto). Mkuu inaonekana wewe hujui ugeugeu na ukinyonga wa wanawake.

Umeelewa sasa? Kama hujaelewa, uliza tena ujibiwe.
 
Nimeelewa tangu mwanzo lakini ishu kama hizo huwezi guarantee tena mnaenda kienyeji kama unaazima kalamu kwa mtu, Hivi vitu wanaviweza wazungu tu sio bongo usitegemee hivo hata kama mwanamke anakazi
 
Nimeelewa tangu mwanzo lakini ishu kama hizo huwezi guarantee tena mnaenda kienyeji kama unaazima kalamu kwa mtu, Hivi vitu wanaviweza wazungu tu sio bongo usitegemee hivo hata kama mwanamke anakazi
Umeambiwa kuwa mwanamke ni mfanyakazi serikalini, hivyo uwezo wa kulea anao....na alikubali kufanya hivyo. Sema labda alichokosea jamaa ni kutokuweka maafikiano hayo kwenye maandishi,....otherwise jamaa hana hatia yoyote....yeye aliombwa kupanda mbegu tu, suala la matunzo ya mbegu hadi izae matunda ilikuwa juu ya mwanamke. Ni bahati mbaya kuwa mwanamke amemgeuka. Wanawake ni vigeugeu kuliko shetani.
 
Niliibiwa unform za shule mtoni nikabiki hadi jioni, nikarudi home uchi,
Du hatari sana hii I see! Hakukuwa na mtu karibu akuazime nguo? Ulikuwa darasa la ngapi na uliporudi home mshua alikuadhibu au alikuonea huruma tu?
 
Kosa lake walikubaliana kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…