Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Chaputa hicho kinaitwa ni chama kikubwa kama freemason na vngine...naomba no yako ya usajili wa chama ni verify taarifa zako nikuombee uhamisho kwenda chawata
Kupiga Nyeto mkuu daah hii kitu inanitesa sana hadi sasa sijui nitaishinda vipi japo Kiwango cha upigaji ni tofauti na zamani, kwa sasa naweza kaa hata wiki tatu nne nisipige ila kitambo ilikuwa karibu kila siku
 
aliwahi kunifanyia hivo binti mmoja, tokea mwaka 2007 tupo naye, 2011 akaamua kunipiga chini kwa sababu alimpata mhandisi mmoja na wakt wote sikuwahi kumuonja.
niliumia, nilikasirika baada ya hapo nikawa kitombi sana na nilijiapiza nitampata tu. 2017 feb ya tare 4 hivi , nikampiga machine jijini [emoji3][emoji3][emoji3] kwa ahadi ya kumuoa alafu baada ya mwezi nikamtumia picha ya demu mwingine mrembo sana. Najua alitia adabu kwa kuchezea akili yangu
Safi sana mr.jengua a.k.a sanadi
 
Katika maisha yako huenda kuna kosa moja ulilotenda ambalo unajutia kulifanya na kama ungepewa nafasi usingerudia tena.

Mimi katika maisha yangu kosa kubwa nililotenda na ambalo nitalijutia katika maisha yangu yote ni kuchelewa kuanza shule. Nimeanza darasa la kwanza nikiwa na umri wa miaka 12 na kuhitmu darasa la saba nikiwa na umri wa miaka 19. Baada ya kuhitimu s/msingi nikakaa kwa muda wa miaka 6 kabla sijarudi shule tena na kurudia darasa la saba. Hapa nilikuwa na umri wa miaka 25. Kwa bahati nzuri nikafaulu kwenda sekondari na kuanza kidato cha kwanza nikiwa na umri wa miaka 26. Bahati nzuri ni kwamba zamani hakukuwa na age sealing. Ingekuwa zama hizi nisingeruhusiwa kusoma shule. Namshukuru Mwalimu Nyerere kwa kuondoa ubaguzi wa kiumri kwenye elimu.

Nimesoma hivyo hivyo nikiwa babu hadi nimehitimu kidato cha sita. Kosa la pili ambalo nalijutia ni kusoma kozi ya ajabu ajabu ambayo haina tija wala mantiki ya kimaisha. Kama umri ungekuwa unaweza kurudishwa nyuma nikarudi kuwa mvulana kamwe nisingesoma kozi hii niliyosoma. Ningejitahidi nisomee udaktari au sheria.

Je, kuna kosa gani ulilotenda katika maisha yako ambalo litaendelea kukutesa maisha yako yote na ambalo usingependa kulirudia kama ungepewa nafasi ya kujisahihisha?

Habari hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa YouTube.

Kuona kipindi hicho angalia video ifuatayo, acha maoni yako na kisha Subscribe kwenye Channel ya JamiiForums.

mimi nilikufa ndio sitakuja kurudia tena
 
Najutia sana mchongo fulani nilipiga job nikajeruhi watu wengi kisa tamaa ya pesa ndefu. Nashukuru Mungu miongoni mwa niliowapiga mamilioni wamenisamehe ila sina amani, ni miaka mitatu sasa imepita.

Hata assets nilizonunua kutokana na hela hiyo hazinifurahishi
Ffu?
 
Mrejesho
Najuta kuna wasichana wawili nimewatafuna baadae nikagundua wameolewa halafu wakaamua kuachika kwa waume zao kisa Mimi,

Thanks God huyo mmoja nimemshawishi arud kwa Mme wake kakubali kesho kutwa anarud

Sitaki tena kugegeda wake za watu Mungu nisimamie
 
Kuoa mwanamke niliyedumu naye kwa mwezi mmoja tu kisa alibeba ujauzito, na kumuacha mwanamke niliyedumu naye kwa miaka mitatu,nimeingia kwenye ya ndoa ya hovyo sana,mke wangu ana tabia za ajabu sijapata kuona,Dah sina furaha kwenye maisha ya ndoa kabisa,natamani kuanza upya mchakato wa kupata mke mwema.
Teh si ajabu alitega huyo
 
Niliwahi kuitwa kwenye usahili nikafanya practical na wenzangu tulikuwa 500 kwenye practical tukachaguliwa 20 kwenda usahili wa mahojiano nami nilikuwa miongoni mwa 20 na zilitakiwa nafasi 5 tu
Aisee kutokana na furaha ya kuitwa ambayo nilikuwa sitegemei kutokana na wingi wa watu nikaenda club na kufungulia mvua ya konyagi mpk 5alfajiri na usahili iliikuwa saa mbili asubuhi
Yaani hakuna siku nimejilaumu Kwan nilikuwa nina hangover na nilikuwa natema harufu ya pombe but Mungu ni mwema nilifanikiwa kupita na kupata kazi
Katika maisha yako huenda kuna kosa moja ulilotenda ambalo unajutia kulifanya na kama ungepewa nafasi usingerudia tena.

Mimi katika maisha yangu kosa kubwa nililotenda na ambalo nitalijutia katika maisha yangu yote ni kuchelewa kuanza shule. Nimeanza darasa la kwanza nikiwa na umri wa miaka 12 na kuhitmu darasa la saba nikiwa na umri wa miaka 19. Baada ya kuhitimu s/msingi nikakaa kwa muda wa miaka 6 kabla sijarudi shule tena na kurudia darasa la saba. Hapa nilikuwa na umri wa miaka 25. Kwa bahati nzuri nikafaulu kwenda sekondari na kuanza kidato cha kwanza nikiwa na umri wa miaka 26. Bahati nzuri ni kwamba zamani hakukuwa na age sealing. Ingekuwa zama hizi nisingeruhusiwa kusoma shule. Namshukuru Mwalimu Nyerere kwa kuondoa ubaguzi wa kiumri kwenye elimu.

Nimesoma hivyo hivyo nikiwa babu hadi nimehitimu kidato cha sita. Kosa la pili ambalo nalijutia ni kusoma kozi ya ajabu ajabu ambayo haina tija wala mantiki ya kimaisha. Kama umri ungekuwa unaweza kurudishwa nyuma nikarudi kuwa mvulana kamwe nisingesoma kozi hii niliyosoma. Ningejitahidi nisomee udaktari au sheria.

Je, kuna kosa gani ulilotenda katika maisha yako ambalo litaendelea kukutesa maisha yako yote na ambalo usingependa kulirudia kama ungepewa nafasi ya kujisahihisha?

Habari hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa YouTube.

Kuona kipindi hicho angalia video ifuatayo, acha maoni yako na kisha Subscribe kwenye Channel ya JamiiForums.

Du hatari lakini hongera sana mkuu maana hizi intaviwi zinatia kihoro sana samutaimz.
Niliwahi kuitwa kwenye usahili nikafanya practical na wenzangu tulikuwa 500 kwenye practical tukachaguliwa 20 kwenda usahili wa mahojiano nami nilikuwa miongoni mwa 20 na zilitakiwa nafasi 5 tu
Aisee kutokana na furaha ya kuitwa ambayo nilikuwa sitegemei kutokana na wingi wa watu nikaenda club na kufungulia mvua ya konyagi mpk 5alfajiri na usahili iliikuwa saa mbili asubuhi
Yaani hakuna siku nimejilaumu Kwan nilikuwa nina hangover na nilikuwa natema harufu ya pombe but Mungu ni mwema nilifanikiwa kupita na kupata kazi
 
Nilicheat nikakamatwa aisee yule Prof alinizingua mpaka nikajuta[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom