Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

1.Najutia sana kupoteza miaka mi 3 pale SUA kusoma course ya ajabu ambayo sikuipendaa kabisa na sasa loan board wananidai hela yao.

2. Najutia sana nilivofika pale SUA nilipata kasichana flani nikadumu nacho miaka mi 4 alafu kakanipiga chini wakati wakati ma wife material wengi nikapoteza bahati ya kua nao.

Ila ntarudi shule tena mpaka niwe daktari hilo ndo lengo nililokua nalo.
 
1.Najutia sana kupoteza miaka mi 3 pale SUA kusoma course ya ajabu ambayo sikuipendaa kabisa na sasa loan board wananidai hela yao.

2. Najutia sana nilivofika pale SUA nilipata kasichana flani nikadumu nacho miaka mi 4 alafu kakanipiga chini wakati wakati ma wife material wengi nikapoteza bahati ya kua nao
Pole sana mkuu. Mungu atakunyanyua kutoka shimoni ulimotumbukia na kukupandisha kilimani.
 
mkwepu jr jibu hata comment moja Basi loh 🤣🤣🤣

Kuna mtu alinifata wasap..akaniambia mane nahis kuna mtu ananifatilia...akasema eti wasiojuloikana...akasema kun men ananipa likes sana alafu hacomment kitu..nikaropokwa mkwepu??akasema umejuaje?nikasema ht kwangu anatoa likes san.chill!
Nadhan ni swaga tu!
 
Ni swaga zake tu😃😃😃, yaani huku kwangu full malikes hadi nasisimkwa. Comment hajibu..Leo nimeamua kumpm angalau nipate salamu yake lkn hola kanichunia.
mkwepu jr tafadhali jibu PM yangu..hata kanukta kanatosha!
 
Samahani ww dada!kusisimkwa kiaje🤣🤣🤣!demi mm nacheka hapa🤣🤣..so unasisimka na likes tu za mkwepujr??🤣🤣🤣🤣🤣!ukute ke😉!lmao
 
Unawashwa wewe, ntaikats hiyo miguu fambaff
manengelo [emoji2960]
Ni swaga zake tu[emoji2][emoji2][emoji2], yaani huku kwangu full malikes hadi nasisimkwa. Comment hajibu..Leo nimeamua kumpm angalau nipate salamu yake lkn hola kanichunia.
mkwepu jr tafadhali jibu PM yangu..hata kanukta kanatosha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom