EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
mi najuta kutongombea urais 2015
[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari mkuu...Kwenye UE lazima uheshimu maana ukijichanganya supp hz za modules zote.
Hawa sato watamu ila wanataka muda na hela sana.
Mkuu ulisoma FCS nn ?Mi najutia kusoma SUA wakati huo nilikuwa na multiple admission ya SUA na UDSM. Ninajutia maana probation za zilinitesa sana hasa jamaa moja anaitwa SEMBUCHE. Ila naendelea kujuta pia kwa kozi niliosomea maana haina maslahi kabisa na haina heshima
Pole sana mkuu. Mungu akusimamie katika safari yako hii mpya.Najutia kuingia kwenye mkataba ambayo ndo nimejua hasara yake kwakuwa muda wa kuisha umebaki mchache daaah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du pole sana mkuu. Watu wengi tumesoma kozi ambazo hazipo damuni mwetu. Inauma sana mtu unafanya kazi hadi unastaafu kwa kufanya kai usiyoipenda. Hata mimi ningerudi kuwa mtoto leo ningesoma kozi niipendayo.Najutia kumsikiliza Everlyne kwamba tusome EGM.wakati.mimi nlikua nataka.kusoma.PCB..na nlikua nimefaulu.. japo nligraduate Accounting UDSM. Bado natamani Sana kuwa Doctor
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah pole sanaNajutia kuvuta bangi..nlichanganyikiwa Sana...mpaka leo natumia Dawa.. nakiacha nakuwa kichaaa kabisa.
Kazi nlipoteza,respect nlipoteza . Sasa nimeanza Mojaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu zimenifikia huku nilipo, zije na kwako pia
Bahati mbaya ni kwamba watu wakifall in love umakini unapungua, so hizi cases zitaendelea kuwepo milele na milele amina.Nimetumia takribani Wiki nzima kusoma Post zote za kene huu Uzi kwa umaakini, peji zote 50 mpaka hapa ulipofikia, kati ya Majuto yaliojirudia rudia almost kila peji ni swala zima la Kuoa/kuolewa na mtu asiye sahh.watu wengi wanalalamikia hili swala kwa namna moja au nyingine.
Kwahyo na wasihi vijana wenzangu ambao hatujaingia kwenye ndoa Tuwe maakini sana.
Hii kitu sio mchezo, nahisi hili ni swala ambalo halipewi uzito unaostahili na madhara yake ni makubwa iwapo ukikosea.
Wanasema bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa.
Katika maisha yako huenda kuna kosa moja ulilotenda ambalo unajutia kulifanya na kama ungepewa nafasi usingerudia tena.
Mimi katika maisha yangu kosa kubwa nililotenda na ambalo nitalijutia katika maisha yangu yote ni kuchelewa kuanza shule. Nimeanza darasa la kwanza nikiwa na umri wa miaka 12 na kuhitmu darasa la saba nikiwa na umri wa miaka 19. Baada ya kuhitimu s/msingi nikakaa kwa muda wa miaka 6 kabla sijarudi shule tena na kurudia darasa la saba. Hapa nilikuwa na umri wa miaka 25. Kwa bahati nzuri nikafaulu kwenda sekondari na kuanza kidato cha kwanza nikiwa na umri wa miaka 26. Bahati nzuri ni kwamba zamani hakukuwa na age sealing. Ingekuwa zama hizi nisingeruhusiwa kusoma shule. Namshukuru Mwalimu Nyerere kwa kuondoa ubaguzi wa kiumri kwenye elimu.
Nimesoma hivyo hivyo nikiwa babu hadi nimehitimu kidato cha sita. Kosa la pili ambalo nalijutia ni kusoma kozi ya ajabu ajabu ambayo haina tija wala mantiki ya kimaisha. Kama umri ungekuwa unaweza kurudishwa nyuma nikarudi kuwa mvulana kamwe nisingesoma kozi hii niliyosoma. Ningejitahidi nisomee udaktari au sheria.
Je, kuna kosa gani ulilotenda katika maisha yako ambalo litaendelea kukutesa maisha yako yote na ambalo usingependa kulirudia kama ungepewa nafasi ya kujisahihisha?
Habari hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa YouTube.
Kuona kipindi hicho angalia video ifuatayo, acha maoni yako na kisha Subscribe kwenye Channel ya JamiiForums.
Dah!Najutia kuvuta bangi..nlichanganyikiwa Sana...mpaka leo natumia Dawa.. nakiacha nakuwa kichaaa kabisa.
Kazi nlipoteza,respect nlipoteza . Sasa nimeanza Mojaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alarm ikulilie maskionDah pole sana