Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Kuwa na mtu kwenye mahusiano deep sana Kumbe aliwahi kuoa ya kanisani....na tetes nliwah skia nkamuuliza akakataa katakata. thou ndoa Yao haikuwa hai. Still together Ila kuna muda nikikumbuka huu uongo hasira zinapanda natamani kumfanya kitu Ila huruma inanijia.
 
Kipindi nasoma UDSM mwaka wa 3 nilikua na biashara inayoniingizia 13-15k per day.Sasa bwana kuna mdogo angu anasoma dip. chuo fulani Dar ada yake nikawa natumiwa na mzee ili nimlipie. Nilikua naiweka bank ili nisiitumie. Nikaja kutana na shetani fulani akanifundisha kubet kona unapata odds nyingi. Ile pesa taratibu nikaanza kubet taratibu taratibu kima cha chini nikibet basi 100k. Nakuja shituka akaunti iko empty na dogo anakaribia kufanya final exam ada inahitajika. Basi bwana kaka ikanibidi niue biashara yangu inayoniingizia 13-15k per day ili nimlipie mdogo angu ada.Nilifanikiwa kulipa yote na dogo hakujua ila saiz yamebaki majuto natamani hata 5k kwa siku.Ila najipanga kabla mwaka haujaisha nisimame upya maana kila siku najuta kwa kilichotokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa form 2 niliporudi likizo nilitaka kumla mtoto wa Mama mkubwa yani dada ake mama usiku alipotoka kuoga ili nimfundishe History maana nilimzidi kitado kimoja. Alikua kavaa kanga tu nikaanza mpapasa mwili huku nikotomasa maziwa. Baadae akaleta upingamizi fulani asee niliona aibu sana.Kesho yake akanitumia txt sikufurahishwa na ulichofanya jana nikamjibu meseji sent and delivery. Ila nashukuru ilishapita na tuko sawa kama dada na kaka ila najuta sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili la kusoma course mbovu limetugusa wengi ...Yaani marafiki na utoto wa olevel umesababisha nikaiacha sayansi niliyokua naimudu vizuri na kukuimbilia kwenye masomo yaliyopelekea kuja kusoma course isiyo na tija...LAKINI BADO NAMWOMBA MUNGU ANITETEEE
Hapa tupi wengi lakini maisha lazima yaendee pamoja na hizi mistake tumefanya siku za nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikudanganya ili asikukose, anakupenda acha ujinga, yaliyopita yamepita
Kuwa na mtu kwenye mahusiano deep sana Kumbe aliwahi kuoa ya kanisani....na tetes nliwah skia nkamuuliza akakataa katakata. thou ndoa Yao haikuwa hai. Still together Ila kuna muda nikikumbuka huu uongo hasira zinapanda natamani kumfanya kitu Ila huruma inanijia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa form 2 niliporudi likizo nilitaka kumla mtoto wa Mama mkubwa yani dada ake mama usiku alipotoka kuoga ili nimfundishe History maana nilimzidi kitado kimoja. Alikua kavaa kanga tu nikaanza mpapasa mwili huku nikotomasa maziwa. Baadae akaleta upingamizi fulani asee niliona aibu sana.Kesho yake akanitumia txt sikufurahishwa na ulichofanya jana nikamjibu meseji sent and delivery. Ila nashukuru ilishapita na tuko sawa kama dada na kaka ila najuta sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekomaaa mzee ungekulaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom