KANYEGELO
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,304
- 5,010
Tulipelekana mahakamani ....kesi ilichukua km miez miwili hukumu ikatoka nilishinda ila nilijifunza kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulipelekana mahakamani ....kesi ilichukua km miez miwili hukumu ikatoka nilishinda ila nilijifunza kitu
Biashara ipi hiyo mkuu?Kipindi nasoma UDSM mwaka wa 3 nilikua na biashara inayoniingizia 13-15k per day.Sasa bwana kuna mdogo angu anasoma dip. chuo fulani Dar ada yake nikawa natumiwa na mzee ili nimlipie. Nilikua naiweka bank ili nisiitumie. Nikaja kutana na shetani fulani akanifundisha kubet kona unapata odds nyingi. Ile pesa taratibu nikaanza kubet taratibu taratibu kima cha chini nikibet basi 100k. Nakuja shituka akaunti iko empty na dogo anakaribia kufanya final exam ada inahitajika. Basi bwana kaka ikanibidi niue biashara yangu inayoniingizia 13-15k per day ili nimlipie mdogo angu ada.Nilifanikiwa kulipa yote na dogo hakujua ila saiz yamebaki majuto natamani hata 5k kwa siku.Ila najipanga kabla mwaka haujaisha nisimame upya maana kila siku najuta kwa kilichotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukutafuta Bado anaendelea?Hapana tulohangaishana sana mahakamani kesi niloshinda ila ilini coast sana !! Sitaki kbs mpk leo najutia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 16 ya kusoma na kupata degree ya petroleum lakini sijawahi pata kazi na hyo degree
It's better I could turn to business
Sent from my VS987 using JamiiForums mobile app
Miaka 16 ya kusoma na kupata degree ya petroleum lakini sijawahi pata kazi na hyo degree
It's better I could turn to business
Sent from my VS987 using JamiiForums mobile app
akijibu nitag
tueleze unajutia kosa gani?To err is human..i will never consider any mistake a life sentence
i will learn,forgive myself ,forge forward and i will survive
ni kuchelewa kuanza shule. Nimeanza darasa la kwanza nikiwa na umri wa miaka 12 na kuhitmu darasa la saba nikiwa na umri wa miaka 19. Baada ya kuhitimu s/msingi nikakaa kwa muda wa miaka 6 kabla sijarudi shule tena na kurudia darasa la saba. Hapa nilikuwa na umri wa miaka 25.
Sijutii chochotetueleze unajutia kosa gani?
Mimi nimesoma hayo na nna ufaulu mzuri hadi chuo lakini nawish ningesoma kitu kingineNajutia kumsikiliza Everlyne kwamba tusome EGM.wakati.mimi nlikua nataka.kusoma.PCB..na nlikua nimefaulu.. japo nligraduate Accounting UDSM. Bado natamani Sana kuwa Doctor
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine tumesoma hiyo na tunajuta vile vileKweli mkuu ila ntarudi chuo tena kusoma MD
Pole sana mkuu
Tena nyie wa petroleum mlikuwa vichwa Sana..kweli maisha Ni safari ndefu..Miaka 16 ya kusoma na kupata degree ya petroleum lakini sijawahi pata kazi na hyo degree
It's better I could turn to business
Sent from my VS987 using JamiiForums mobile app
👍!To err is human..i will never consider any mistake a life sentence
i will learn,forgive myself ,forge forward and i will survive
Du hiyo soo kiongozi wangu. Angeamua kulisanua sijui ingekuwaje. Hatari sana unaambiwa. Ulitaka kumla dada yako mkuu? Ama kweli kichwa cha chini kikivurugwa, kichwa cha juu hakifanyi kazi!!!!😀😀😀Nikiwa form 2 niliporudi likizo nilitaka kumla mtoto wa Mama mkubwa yani dada ake mama usiku alipotoka kuoga ili nimfundishe History maana nilimzidi kitado kimoja. Alikua kavaa kanga tu nikaanza mpapasa mwili huku nikotomasa maziwa. Baadae akaleta upingamizi fulani asee niliona aibu sana.Kesho yake akanitumia txt sikufurahishwa na ulichofanya jana nikamjibu meseji sent and delivery. Ila nashukuru ilishapita na tuko sawa kama dada na kaka ila najuta sana
Sent using Jamii Forums mobile app