Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,293
Unatumia dawa gani mkuu..Najutia kuvuta bangi..nlichanganyikiwa Sana...mpaka leo natumia Dawa.. nakiacha nakuwa kichaaa kabisa.
Kazi nlipoteza,respect nlipoteza . Sasa nimeanza Mojaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tupi wengi lakini maisha lazima yaendee pamoja na hizi mistake tumefanya siku za nyumaHili la kusoma course mbovu limetugusa wengi ...Yaani marafiki na utoto wa olevel umesababisha nikaiacha sayansi niliyokua naimudu vizuri na kukuimbilia kwenye masomo yaliyopelekea kuja kusoma course isiyo na tija...LAKINI BADO NAMWOMBA MUNGU ANITETEEE
Kuwa na mtu kwenye mahusiano deep sana Kumbe aliwahi kuoa ya kanisani....na tetes nliwah skia nkamuuliza akakataa katakata. thou ndoa Yao haikuwa hai. Still together Ila kuna muda nikikumbuka huu uongo hasira zinapanda natamani kumfanya kitu Ila huruma inanijia.
Ungekomaaa mzee ungekulaaaaNikiwa form 2 niliporudi likizo nilitaka kumla mtoto wa Mama mkubwa yani dada ake mama usiku alipotoka kuoga ili nimfundishe History maana nilimzidi kitado kimoja. Alikua kavaa kanga tu nikaanza mpapasa mwili huku nikotomasa maziwa. Baadae akaleta upingamizi fulani asee niliona aibu sana.Kesho yake akanitumia txt sikufurahishwa na ulichofanya jana nikamjibu meseji sent and delivery. Ila nashukuru ilishapita na tuko sawa kama dada na kaka ila najuta sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee balaaa hiliNilidondosha kondomu subulebi mbele ya wazazi na wageni, mbaya zaid baba yangu alikua ananiamin kupitiliza na kujua sina mambo ya mahusiano kabisa, sitaki kukumbuka ile siku ni bonge la aibu
[emoji3][emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji1] mabumunda.afu wale wafanyabiashara nje ya kanisa ndio walikuwa wanasababisha yote haya.
Alikudanganya ili asikukose, anakupenda acha ujinga, yaliyopita yamepita
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeliwa kiboga Mkuu?Nilitembea na mke wa mtu ambaye aliniaminisha kuwa ameachana na .......na mume wake kilichokuja kutokea siwezi kusahau kamwe !! Nilipata bonge ya fundisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanywa niniNilitembea na mke wa mtu ambaye aliniaminisha kuwa ameachana na .......na mume wake kilichokuja kutokea siwezi kusahau kamwe !! Nilipata bonge ya fundisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipakwa MAFUTA au alitatua hivyohivyo Mkuu pole Sana!!!Nilitembea na mke wa mtu ambaye aliniaminisha kuwa ameachana na .......na mume wake kilichokuja kutokea siwezi kusahau kamwe !! Nilipata bonge ya fundisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana tulohangaishana sana mahakamani kesi niloshinda ila ilini coast sana !! Sitaki kbs mpk leo najutia sana