Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ndio maana wanashauri kabla ya kununua eneo nenda kajiridhishe kwanza kwa mamlaka husikaJamaa yangu aliuziwa kumbe ni road reserve
Kosa kubwa kuliko yote ni kununua ardhi yenye mgogoro aidha wa kifamilia mambo ya urithi ama mipaka
Ni umasikini tu kununua viwanja visivyo pimwa.
All the best
π€£π€£π€£π€£Kuna jamaa kanunua kiwanja bei nzuri sana sana heka 1 halafu ni karibu na center ya eneo husika,
Ilikuwa ni kiangazi pako tambarare saafi pana ukoka wa kijani...jamaa akatamba ataweka bonge la garden kwa mbele na nyuma bustani ya mboga......ikawa usiku,,,,ikawa mchana...mvua ikanyesha......π...KUMCHEKA NI DHAMBI.