Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Kuamka au kuhamia mkuu?Kuamini fundi
Kufanya wiring kabla sijajipanga kuamka
(Nilikuta wameiba wire)
Kuhamia, nimeandika huku nafungua box si unajua leoKuamka au kuhamia mkuu?
Kiwanja kilikuwa kidogo sana? au hilo eneo lilikuwajekujenga sehemu ambayo ukiwa nausafiri kutoka,kuingia na paking nishida.nimeuza nyumba nikajenga sehemu nyingine.
Uzi mzuriHabari wana JF
Ni kosa gani ulilifanya kipindi unajenga na ungependa wengine wajifunze ili lisitokee kwao?
Kama utatumika vizuri bila jokes utasaidia wengiUzi mzuri
YeeesKama utatumika vizuri bila jokes utasaidia wengi
Nilivyouziwa sikua nagari, nikajenga nikamaliza na njia ya kuingilia na kutokea ilikuwepo kwasababu wakati wa ujenzi gari ya vifaa ilikuwa inaingia Hadi site.Kiwanja kilikuwa kidogo sana? au hilo eneo lilikuwaje
Kujenga choo cha shimo ndani ya nyumba😔Habari wana JF
Ni kosa gani ulilifanya kipindi unajenga na ungependa wengine wajifunze ili lisitokee kwao?
Hiko ndio kizuri. Ukijenga, nyumba inanoga sana...Kununua kiwanja sloped.
Any way Mungu ni mwema
Ni kweli kabisa. Ila Ila garama za sement na nondo hapo si kitoto.Hiko ndio kizuri. Ukijenga, nyumba inanoga sana...