Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

nilivyo uziwa sikua nagari.nikajenga nikamaliza nanjia yakuingilia nakutokea ilikuwepo kwasababu wakati waujenzi gari yavifaa ilikuwa inaingia Hadi site.sasa nimehamia nikakaa miezi6 nikanunua gari Alie niuzia tukaanza mgogoro mara apande miti sehemu ninayo pita mara aanzishe biashara yatofari sehemu ninayo pita kiasi chakubakisha kichochoro chawapita kwamiguu.nikampeleka kwamjumbe akaambiwa angoe miti yake akingoa sikuchache ana panda tena.nikaona Bora niuze nikajenga sehem salama yenye majirani wanao jielewa sio yule chawivu anaetamani kilamtu atembee kwamguu
Duuh, pole sana kwa usumbufu huo.

Suala la kuzingatia uwepo wa njia ya kupita nalo ni muhimu wakati wa kununua na kujenga
 
Nilivyo uziwa sikua nagari.nikajenga nikamaliza nanjia yakuingilia nakutokea ilikuwepo kwasababu wakati waujenzi gari yavifaa ilikuwa inaingia Hadi site.sasa nimehamia nikakaa miezi6 nikanunua gari Alie niuzia tukaanza mgogoro mara apande miti sehemu ninayo pita mara aanzishe biashara yatofari sehemu ninayo pita kiasi chakubakisha kichochoro chawapita kwamiguu.nikampeleka kwamjumbe akaambiwa angoe miti yake akingoa sikuchache ana panda tena.nikaona Bora niuze nikajenga sehem salama yenye majirani wanao jielewa sio yule chawivu anaetamani kilamtu atembee kwamguu
Watu wa namna hiyo huwa wachawi. Na mimi Kuna mmoja nakabiliana nae site moja hivi ila nilishamuueleza na ndugu zake kuwa Mimi ni kiboko ya wajinga km wao. Haiwezekani umuuzie mtu kiwanja na kumuonesha njia atakayokuwa anapita, then ghafla kwa sababu ya wivu na ushirikina wako baadae unaziba njia.

Kuuza site/nyumba kwa sababu za wajinga km hao ni uzembe. Mimi Sina mpango wa kuishi hapo leo wala kesho ila muda ukifika watanielewa tu. Mwakani tu nitaenda kuwaonesha show ya kiutu uzima.

Huwezi kuishi kwa kumuogopa mwanadamu mwenzio, na bahati mbaya tu nipo mbali ningewanyoosha.
 
Mkuu Mimi ninahasira zakaribu namtu mwenyewe nimwana mke.bora kushindana namwanaume mwenzako kuliko mwana mke.unaweza kupiga mtu kofi ukaumiza ukajikuta uko kituoni..
 
Back
Top Bottom