Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Hivi nyie wenye Simu zinaonesha sent from my Infinix?!!Pumbavu snaaa huyo fundi ingekuta mnnamfungulia kesi ya wizi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wapo watu huwez amini kufumba na kifumbua choo ni Cha kuflash safi kabisa.Hii inarekebishika, bomoa jenga unachotaka
Mkuu Mimi sijielewi Kwa sabab Huwa sijali na siwekagi maanani au bajeti na ishu za wageniKwa familia..vyumba viwili Ni vichache..kumbuka kuna watoto wakike na kiume..pia wageni.. lakini tatizo lilikuwa kipato
Uko mulemule.kwenye ujenzi wa nyumba wewe mweye nyumba ndo fundi mkuu usicheze mbali kwa hatua zote muhimu za ujenzi
Vp mkuu maji yanaingia?Kujenga basement najuta sana
Pia kununua kiwanja karibu na mchaga pia yaani ni shida wao wanachokijua ni kuongeza mipaka hata vimepimwa yani fundi wa kuanzisha migogoroKununua kiwanja karibu na mhaya
Ni kweliPia kununua kiwanja karibu na mchaga pia yaani ni shida wao wanachokijua ni kuongeza mipaka hata vimepimwa yani fundi wa kuanzisha migogoro
Mpauko wake hua si wakitoto, unaishiwa hata shilingi alfu 10 na huna pa kuipataUsije ukatumia pesa yooote kwenye ujenzi ukakaa usubiri muijiza.
Kwa mfano una 2mil unataka uingiize kwenye ujenzi. Tumia 1.5 tu 500k iweke pembeni.
Au una 20 Mil. Weka 15mil kwenye jengo 5mil iweke pembeni. Utanielewa baadae
Nimejifunza mkuu.kwenye ujenzi wa nyumba wewe mweye nyumba ndo fundi mkuu usicheze mbali kwa hatua zote muhimu za ujenzi
ahahaaa yaani acha kabisa mafundi walinifanya nikanunua tape measure ya kwangu kabisa nakuwa nayo kiunoni maana kwa kufuatilia vipimo,kila nikifika lazima niwaombe tape measure yao, sasa wakati mwingine wakiniona tu wanaficha yao,ikabidi niingie dukani nikifika site na vuta tu kuhakiki vipimo bac wanabaki kutizamana tuUko mulemule.
Tena epuka fundi mjauaji..
Yaani badilisha haraka Wala usiogope Chochote
jumlisha mrangi na mwarushaPia kununua kiwanja karibu na mchaga pia yaani ni shida wao wanachokijua ni kuongeza mipaka hata vimepimwa yani fundi wa kuanzisha migogoro
Nilishawahi kujilipua hivi nikabaki na 86k(elfu 86) tu kwenye account na ndio ilikuwa january nikaishia kupiga plaster tu.Usije ukatumia pesa yooote kwenye ujenzi ukakaa usubiri muijiza.
Kwa mfano una 2mil unataka uingiize kwenye ujenzi. Tumia 1.5 tu 500k iweke pembeni.
Au una 20 Mil. Weka 15mil kwenye jengo 5mil iweke pembeni. Utanielewa baadae
Nilikuwa na tape measure yangu natembea nayo kwenye bag yaani nikawa najua vipimo vya nyumba nzima hunidanganyi.ahahaaa yaani acha kabisa mafundi walinifanya nikanunua tape measure ya kwangu kabisa nakuwa nayo kiunoni maana kwa kufuatilia vipimo,kila nikifika lazima niwaombe tape measure yao, sasa wakati mwingine wakiniona tu wanaficha yao,ikabidi niingie dukani nikifika site na vuta tu kuhakiki vipimo bac wanabaki kutizamana tu
Maskini mimi ninunue eneo lililopimwa 20x20 milioni 10 kweli?Ni maeneo yasiyopimwa bila shaka, kama maeneo yamepimwa njia zipo ni sheria, unanunua tu plot, habari ya njia utaiona ktk ramani ya block
Ha ha ha ha sebule kuliko choo 😃Hapa jirani yangu Dodoma Kuna jmaa anafunja nyumba yake kwani alimpa fundi kila kitu ili yeye aje achukue funguo tu nyumba ikisha jamaaa kufika kuchukua fungu akakuta sebule Ni ndogo kuliko choo na jiko Ni kubwa kuliko master
Na nyumba ikisha pauliwa kila kitu na kupigwa plaster
Hasra aliyopata hatokah hasau jamaa amemua kufunja baadh ya kuta na room ili kubalance ukubwa wa sebule iliyo ndogo Kama choo na choo kiko kikbwa kuliko sebule
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pia njia sio lazima ufungunge mfumo mzima wa solar, unaweza kufunga back za battery na inverter pekee zinajichaji wakati wa unaumeme wa January, ukikatika ngoma unawashwahakuna mantiki ya kuweka wiring mbili zaidi ya kuongeza gharama
kinachofanyika ni kuweka 'change over switch' ya kubadili tanesco-solar mle kwenye DB (lile box lenye mifyuzi) na kama solar yako ni Inverterless, hapo utakua unabadili taa, unatoa za AC unaweka za DC ,
kama ni solar ya Inverter hapo hutabadili taa, zaidi fundi ataunga njia zinakazolishwa na solar mle mle kwenye DB kulingana na pendekezo la mteja pindi anapohamisha tanesco to solar
Haimaanishi Ile pesa baki au kota Moja kiluiwekanni Ili uingiize kwenye matatizo ya kifamilia no. Ila ukiona ukiwa na keshi na unaendelea ujenzi unakuwa na confidence..ukiwa Huna kitu hata mafundi watakutukana tuNilishawahi kujilipua hivi nikabaki na 86k(elfu 86) tu kwenye account na ndio ilikuwa january nikaishia kupiga plaster tu.
Nikapata msiba wa mjomba wangu Moro nikashindwa kwenda nikasingizia naumwa na mafua na kifua kikali ila hali nilikuwa naijua mwenyewe.
Mungu mkubwa, Nilipumzika mwezi mmoja tu alhamdullilah mishe zikakaa sawa nikamalizia.
Kweli Teknolojia imekua. Asante kwa Elimu mkuu[emoji120]hakuna mantiki ya kuweka wiring mbili zaidi ya kuongeza gharama
kinachofanyika ni kuweka 'change over switch' ya kubadili tanesco-solar mle kwenye DB (lile box lenye mifyuzi) na kama solar yako ni Inverterless, hapo utakua unabadili taa, unatoa za AC unaweka za DC ,
kama ni solar ya Inverter hapo hutabadili taa, zaidi fundi ataunga njia zinakazolishwa na solar mle mle kwenye DB kulingana na pendekezo la mteja pindi anapohamisha tanesco to solar