Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Hewa unafunga AC
 
Kwa style hii[emoji115][emoji115] ni Bora standby generator
Standby utalichoma, washa muda umeme umekatika.

Unaweza enda kazini umeme ukakatika afu umeacha mafuta lita 20/40 likijiwasha ukirudi jioni utakuta limejizima
 
Kwa hiyo hukuisoma ramani?
 
Maji yanatoka kama mkojo ,pipa litajaa saa ngapi, alafu dawsco wana mtindo wakufungulia upepo badala ya maji , hiki kitendo kinapelekea bill kuja mpaka 70k, kwa mwezi,
Kwamba wameweka compressor?
 
Nakukaribisha kufanya finishing nasi au tembelea ukurasa wetu Instagram Kama highland_decor_solution call /WhatsApp 0757735884 skiming nje ni bure ukitupatia kaz mojawapo
Umekuja haribu uzi, katafute uzi wako
 
Fence niliambiwa imezidi mguu mmoja,wakaletwa kundi la watu pamoja na M/Keti,Mtendaji.
Wakaangalia Bicon zile hapana jirani kazidi.Ila anataka tumuachie eneo la kuweka taka.

Jirani shida ni taka tu???

Pima miguu unayotaka mpaka utakapo hisi wapi panakufaa.Mkimaliza mwiteni fundi aje ajenge ukuta pale mlipobomoa.

Kiwanja ni halali na kina kila kitu.
Hasira,wakafunga maji ,simu wakazuia tusiende kuchaji mana palihamiwa kukiwa hakuna Maji wala Umeme.

Haikupita week umeme ukaja na Kisima kikaja.

Na baada ya kuifutilia Bicons zile,kuna jirani napita katikati ya Sebule yake.

Namvutia kasi, siku nikivurugwa basi nami nataka kupanua mji wangu😀😀😀😀

Wakasema dharau😀😀😀
 
Duh, mzee familia ya watu wangapii hiyo? Halafu maji kukatika mwezi mzima mbona ni nadra sana kwa hayo maeneo? Labda ukame kama wa mwaka jana
 
[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…