Fence niliambiwa imezidi mguu mmoja,wakaletwa kundi la watu pamoja na M/Keti,Mtendaji.
Wakaangalia Bicon zile hapana jirani kazidi.Ila anataka tumuachie eneo la kuweka taka.
Jirani shida ni taka tu???
Pima miguu unayotaka mpaka utakapo hisi wapi panakufaa.Mkimaliza mwiteni fundi aje ajenge ukuta pale mlipobomoa.
Kiwanja ni halali na kina kila kitu.
Hasira,wakafunga maji ,simu wakazuia tusiende kuchaji mana palihamiwa kukiwa hakuna Maji wala Umeme.
Haikupita week umeme ukaja na Kisima kikaja.
Na baada ya kuifutilia Bicons zile,kuna jirani napita katikati ya Sebule yake.
Namvutia kasi, siku nikivurugwa basi nami nataka kupanua mji wangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wakasema dharau[emoji3][emoji3][emoji3]