Ulitumia mashine ya umeme yenye mixer na vibrator au ile shindilia ya mkono (bambam)? Ulinunua au ulikodi?
Kuna gharama ya kununua mchanga, cement, vibao, maji ya kumwagilia, gharama ya kuwalipa wafyatua tofali, vibao vya tofali na gharama ya umeme kama utatumia vibrator na mixer
Ili utoe tofali 3000 kwa ratio ya 40 utahitaji cement mifuko 75 (cement 1@16,500)
●Mifuko 75@16,500= 1,237,500
Mchanga wa tofali 3000
●Mchanga mnene 2@400,000: 800,000 (FAW ton 20)
●Mchanga mlaini; Bagamoyo/Kibaha 1@350,000 (SCANIA mende)
Gharama za wapiga tofali (Mfuko 1@4000)
●Mifuko 75@4000=300,000
Kibao 1@1700
●Vibao 1000@1700=1,700,000
HADI HAPO TAYARI 4,387,500
SIJAHESABIA GHARAMA ZA KUKODI/KUNUNUA MASHINE, MAJI NA UMEME
UKINUNUA TOFALI 3000@1100 NI 3,300,000
NB: GHARAMA INATEGEMEA NA ENEO HUSIKA HIYO HESABU NI KWA MKOA WA DAR