Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Labda huyo fundi alimaanisha utatumia vifaa vya DC ukiwa unatumia solar mfano taa, tv na vingine.
Lakini unaweza kubadili DC kwenda AC na ukatumia vifaa vyako vyote kama una umeme wa TANESCO. Kujenga wiring mbili ni kuongeza gharama zisizo za lazima
Naomba kueleweshwa hapa mkuu
Ina maana ukishabadili flow kwenye Change Over switch,, vifaa kama bulb n.k vinavyotumia umeme wa solar vitaendelea kutumia umeme wa AC/ TANESCO?
Au vifaa vinavyotumika ni vya AC pekee kwa msaada wa Inverter?
 
Hivi hapa bongo Kuna watu wanaweza kufanya finishing kama hizi?
Yes, German furniture wanafanya kazi hizi. Ofisi zao zipo pale junction ya Mbuyuni barabara ya Haile Selassie kuelekea Oysterbay.

Mimi kwangu ni open plan kuna interaction kati ya kitchen, island kati kati as dining area pamoja na lounge.

Mtindo huu unataka utumie integrated appliances zaidi kama fridge, oven, microwave na dishwasher pia integrated gas/induction hob with extractor hood.

Ukiangalia vizuri hii picha hapa chini upande wa kulia hilo ni integrated fridge la Bosch ila kwa haraka haraka mtu hawezi kuliona huo ndio mfano wa appliances unazopaswa kuzitumia ktk open kitchen plan.
 
Attachments

  • IMG_6840.jpg
    IMG_6840.jpg
    22.3 KB · Views: 86
Kumlipa fundi pesa yake yote ya ufundi kablaa hajamaliza kazi ni kosa kubwa sana la kiufundi ambalo nimelifanya katika safari ndefu ya ujenzi,ni jambo ambalo jitahidi sana ulikwepe wakati wa ujenzi.
Weee fundi namlipa kwa asilia ya kazi, wale ukiwapa hela nyingi zaidi ya kazi alofanya anakuona una hela mingi, tena anakuhama na kazi kabisa anaenda kufanya za mwingine
 
Mi ilinitia wazimu nilinyanyua cha kishikaji... cement ikala mifuko 1160 nondo mchanganyiko tani 7 unusu tofali 11,700 nilijuta bado kifusi na mawe, marine board 78, kokoto 80qm, mchanga 100qm mbao , mirunda uwii... bado mzigo wa fundi ilikuwa shida...finishing ndio nilikaa na bank ili niwe na nyumba
Ulitoboka kama million ngapi
 
Naomba kueleweshwa hapa mkuu
Ina maana ukishabadili flow kwenye Change Over switch,, vifaa kama bulb n.k vinavyotumia umeme wa solar vitaendelea kutumia umeme wa AC/ TANESCO?
Au vifaa vinavyotumika ni vya AC pekee kwa msaada wa Inverter?
Kwa lugha rahisi, umeme wa Tanesco ni AC ( Alternating Current ) wakati umeme wa Solar ni DC ( Direct Current ) , vifaa vya kawaida majumbana vina tumia umeme wa AC, ili kuondoa wiring mara mbili kwa ajili ya umeme wa Solar ambao ni DC, unaweka kifaa kinaitwa inverter, kitabadilisha umeme wa Solar wa DC kwenda AC, halafu unaweka hiyo Change Over switch ili tu Kuchagua tu utumie umeme wa Solar au Tanesco kwa wakati unaotaka wewe.
 
Yes, German furniture wanafanya kazi hizi. Ofisi zao zipo pale junction ya Mbuyuni barabara ya Haile Selassie kuelekea Oysterbay.

Mimi kwangu ni open plan kuna interaction kati ya kitchen, island kati kati as dining area pamoja na lounge.

Mtindo huu unataka utumie integrated appliances zaidi kama fridge, oven, microwave na dishwasher pia integrated gas/induction hob with extractor hood.

Ukiangalia vizuri hii picha hapa chini upande wa kulia hilo ni integrated fridge la Bosch ila kwa haraka haraka mtu hawezi kuliona huo ndio mfano wa appliances unazopaswa kuzitumia ktk open kitchen plan.
Hapa ni kwako au ni picha ya Google
 
Kwa mafundi wetu hawa wa tujenge tupumzike bila usimamizi wako mwenyewe wanapojenga ujue.

1. Utajengewa chini ya Kiwango, kwakuwa ni wavivu na kupenda kulipua kazi hata kama wamelipwa vizuri.

2. Utaibiwa raslimali za ujenzi iwe simenti, mbao, Nondo, misumali yaani kila kilichopo hapo.

Lazima uwepo wakati wa Ujenzi.
Kwa utafiti wangu mafundi ujenzi wote ni wezi wanapishana kwa viwango tu.
Kumbukeni hata kuchukua msumari mmoja bila ruhusa ya mwenyewe ni wizi.
 
Safi
 
Back
Top Bottom