Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
- Thread starter
- #681
Naomba kueleweshwa hapa mkuuLabda huyo fundi alimaanisha utatumia vifaa vya DC ukiwa unatumia solar mfano taa, tv na vingine.
Lakini unaweza kubadili DC kwenda AC na ukatumia vifaa vyako vyote kama una umeme wa TANESCO. Kujenga wiring mbili ni kuongeza gharama zisizo za lazima
Ina maana ukishabadili flow kwenye Change Over switch,, vifaa kama bulb n.k vinavyotumia umeme wa solar vitaendelea kutumia umeme wa AC/ TANESCO?
Au vifaa vinavyotumika ni vya AC pekee kwa msaada wa Inverter?