Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Kwanin hawaweki?
Nadhani ni
1. Kutojua,
2. Inahitaji umeme (maana kwa ndani yake ina feni ya kutengeneza vacuum ili ivute ule moshi na mvuke uingie ndani yake then utolewe nje),
3. Zile za supermarkets bei ghali(bongo hakuna wanaotengeneza, niliona wakenya wanazitengeneza zile safi kabisa), pia hata zikitengenezwa bongo hapa zitakuwa pesa ndefu maana zinahitaji food-grade stainless steel(Ss304) na sisi wabongo kila kitu kupaishwa bei kubwa sana.

Na ile inapendezeza zaidi ikiwa katika pea(pair) ya chini kunakuwa na Cooking range(hili ni oven lenye stoves kwa juu ila ni standard ya North America (hasa U.S.A huko, ni kubwa tofauti na haya ya kwentu standard ya europe.), halafu kwa juu sasa ndio inakaa hiyo range hood. Kama ni maza house lazima ufurahi tu.
 
mambosi wengi ni mizaha hela ya kumlipa fundi unamzungusha ila hela ya vifaa unamwaga bwerere binafsi hata wote humu tungekuwa mafundi tungekuwa wezi tuu nimejaribu kukaa na mafundi nimegudua boss yuko radhi atoe hela kubwa anunuliwe vifaa quality ila pesa ya kumlipa fundi atalia sana ipunguzwe mafundi wengi wanaponea kwenye vifaa na huu ndio ukweli wa mambo.
 
Back
Top Bottom