ozone layer
JF-Expert Member
- Oct 27, 2021
- 471
- 1,935
Hahaaaaa nimecheka sana, hii ngoma ni mwisho but moja inafika elf 70,000 na baadhi ya kampuni hadi 90,000.Kuiga majirani zangu kupiga bati za bei mbaya na pesa kuishia hapo hapo View attachment 2533948
Hii bati inapendezesha sana nyumba,kizuri gharama.Hahaaaaa nimecheka sana, hii ngoma ni mwisho but moja inafika elf 70,000 na baadhi ya kampuni hadi 90,000.
Usiige Mkuu utakuja kimbia nyumba kama hujajipanga
Ila inakaa poaw sana katik nyumba Hii Royal Versatile Charcoal Grey
Tofali ulifyatua mwenyewe mkuu?Kuiga majirani zangu kupiga bati za bei mbaya na pesa kuishia hapo hapo View attachment 2533948
Tofali ulifyatua mwenyewe mkuu?
😅😅Nilivyouziwa sikua nagari, nikajenga nikamaliza na njia ya kuingilia na kutokea ilikuwepo kwasababu wakati wa ujenzi gari ya vifaa ilikuwa inaingia Hadi site.
Sasa nimehamia nikakaa miezi 6 nikanunua gari Alieniuzia tukaanza mgogoro mara apande miti sehemu ninayo pita mara aanzishe biashara ya tofari sehemu ninayo pita kiasi cha kubakisha kichochoro cha wapita kwa miguu.
Nikampeleka kwa mjumbe akaambiwa angoe miti yake akingoa siku chache ana panda tena, nikaona Bora niuze nikajenga sehemU salama yenye majirani wanaojielewa sio yule chawivu anaetamani kila mtu atembee kwamguu.
Hahaaaaa nimecheka sana, hii ngoma ni mwisho but moja inafika elf 70,000 na baadhi ya kampuni hadi 90,000.
Usiige Mkuu utakuja kimbia nyumba kama hujajipanga
Ila inakaa poaw sana katik nyumba Hii Royal Versatile Charcoal Grey
Mkuu kumbe ni wewe aisee. Hii nyumba naijua aisee. Arusha, sitataja mahali ila Nairobi road hii.Kuiga majirani zangu kupiga bati za bei mbaya na pesa kuishia hapo hapo View attachment 2533948
Tupe storyKuhusu hii kitu, nina ushuhuda wa wazee wangu wawili waliostaafu jeshi.
Walifanya huo ujinga.
Yes mkuu nimefyatua mwenyewe
Naonaga kama gharama ya kufyatua mwenyewe ni kubwa kuliko kununua
Kuna ambao bado wanatumia flat bar siku hizi?View attachment 2538431
[emoji51]
Ulitumia mashine ya umeme yenye mixer na vibrator au ile shindilia ya mkono (bambam)? Ulinunua au ulikodi?Mmmh kaka Hapana kwanza unakua na hakika na Tofar zako Mana ukinunua jua jamaa wanataka faida so hazitakua na ratio nzur lbd kwa mfuko wanaweza toa 50 wakati wewe ungetoa 40 hawawez mwagilizia inavyotakiwa ukifyatua wewe utamwaga maji ya kutosha ivo ivo utaokoa pesa kibao
Mimi mara ya kwanza nilifyatua Tofar 3000 nikaokoa kama lak sita mara ya pili apa nilikuta cement imepanda nikaokoa ka lak nne na 80 brother unaokoa pesa nyingi sana na unakua na Tofar imara sana
Kuna ambao bado wanatumia flat bar siku hizi?
Ulitumia mashine ya umeme yenye mixer na vibrator au ile shindilia ya mkono (bambam)? Ulinunua au ulikodi?
Kuna gharama ya kununua mchanga, cement, vibao, maji ya kumwagilia, gharama ya kuwalipa wafyatua tofali, vibao vya tofali na gharama ya umeme kama utatumia vibrator na mixer
Ili utoe tofali 3000 kwa ratio ya 40 utahitaji cement mifuko 75 (cement 1@16,500)
●Mifuko 75@16,500= 1,237,500
Mchanga wa tofali 3000
●Mchanga mnene 2@400,000: 800,000 (FAW ton 20)
●Mchanga mlaini; Bagamoyo/Kibaha 1@350,000 (SCANIA mende)
Gharama za wapiga tofali (Mfuko 1@4000)
●Mifuko 75@4000=300,000
Kibao 1@1700
●Vibao 1000@1700=1,700,000
HADI HAPO TAYARI 4,387,500
SIJAHESABIA GHARAMA ZA KUKODI/KUNUNUA MASHINE, MAJI NA UMEME
UKINUNUA TOFALI 3000@1100 NI 3,300,000
NB: GHARAMA INATEGEMEA NA ENEO HUSIKA HIYO HESABU NI KWA MKOA WA DAR
Ndio maana nikasema inategemea na eneo nimeona kuna mtu kasema hiyo nyumba kaiona Arusha. Hizo gharama kwa Dar ni kawaida sanaMmmmm kaka Hapana gharama zako kubwa sana...
Mimi ilikua hiv...
Cement 75@18000.......1,350,000
Mchanga trip 12@50000.....600,000
Fund na vibao vyake 120@3000....360,000
Maji bills 30000
GRAND TOTAL.....2,340,000
Sasa apo Piga hesabu ata ka unanunua kwa
tsh 1000*3000= 3,000,000
Ingekua ivo mzee wanao uza wasingekua na faida sasa ingia field fresh utaona