Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Ndio maana nikasema inategemea na eneo nimeona kuna mtu kasema hiyo nyumba kaiona Arusha. Hizo gharama kwa Dar ni kawaida sana

Hapana ata kwa dar kama wanauza ts 1000 jua gharama za uzalishaji zipo chini sana mkuu kumbuka they seeking for profits Sasa assume ufyatue mwenyewe utaokoa kiasi gan mzeee
 

Pia hapa umechanganya gharama za vibao na wafyatuaji...

Uku kwetu fundi na mashine yake na kibao chake unamlipa 120 kila Tofar analofyatua mzee
 
Tutumie nini

Kama Mtu Ameshaweka Flat Bar...Nini Afanye Kabla Hajahamia??

Kwa structure yoyote inayohusu ulinzi
Tumia square pipe, nondo au iron sheet (za mageti)

Wako mafundi wazuri wa kuku design-ia kitu kikawa kizuri cha kuvutia.

Flat bar hapana kwa kweli.
Hizi Tumia kwa structure zinazohitaji urembo na sio ulinzi.

#YNWA
 
Ulinzi Si Mtu Anapiga Uzio Mixer Security FENCE...
 
we ndie boss huyooo[emoji23][emoji23]
 
Wazee wamejenga nyumba ya ghorofa moja master bedroom yao ipo juu sasa umri umeenda kupanda ngazi na kushuka kila siku kwenda chumbani wanaona shida

wamehamia chumba cha chini mdogo wangu ndo kahamia kwenye master bedroom juu

So ukijenga ghorofa baadae ukizeeka utarudi chini labda uweke lift [emoji28]







HILI SWALA NILILISIKIA KWA JAMAA WATRA GOBA MUDA
 
ACHA MAMBO YA UZUNGU MZEE, JENGA SIMPLE TU". kabisa
 
Nilimuamini chalii mmoja kosa tu kasomea civil engeering nikq mtrust anichoree ramani


Kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…