Mlamba Chumvi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2016
- 408
- 409
Mkuu nimetembelea kazi zenu. Ni kweli mmefanya nn kwenye hizo page za instagram au mmechukua picha za watu[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu njoo nikufanyie water proof treatment huko kwenye ungio la bat na tofar hutojuta tena call/WhatsApp 0757735884 au tembelea Instagram yetu highland_decor_solution
Hili lilinifanya niuze nyumba kibada skwataKujenga katikati ya wazaramo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwenye sisimizi ina maana kuna kosa lilifanyika hapo ninavyoelewa kuna dawa ilitakiwa kuwekwa wakati wa kupiga jamvi au sakafu sasa hili kwako halikufanyika....Usiwaamini sana mafundi wa kitaa. Kama una hela tumia professional fundi au engineer. Napambana na sisimizi haijawahi tokea. Marumaru hadi natamani nibomoe nianze upya space kati ya tile na tile walibana sana kiasi kwamba grout haikai matokeo yake space ni nyingi na sisimizi wanatokea humu. Fundi rangi pia naye ni shida pia nilimwamini sana fundi wangu lakini nimekuta baadhi ya vitu hajui. Kama issue za Marumaru, rangi, furniture nk.
Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
Nilitoka Ulaya nakiwa nime-save bilioni moja nikitaka nijengewe nyumba yenye ubora sawa na Ulaya. Mafundi wa Dar es Salaam ambar walikuwa wanafisiwa na watu wengi walinifanyia kazi ya hovyo kiasi kwamba maji ya moto yalikuwa hayatoki, nyumba inavuja, rangi haijapakwa vizuri. Tulikaa mwaka mmoja, tukaamua kuhama. Kwa kuwa kiwanja kilikuwa ni prime plot na ilinichukua miaka mingi kukusanya pesa za kukinunua. Sikutaka kuishi kwenye nyumba ambayo sikuwa na furaha. Nikaamua kuibomoa nyumba yote, nikakopa benki halafu nimkatafuta architect kutoka Afrika ya Kusini, nikachora ramani mpya. Nikatafuta kampuni ya ujenzi kutoka Cape Town (Wana uzoefu wa kujenga nyumba za kwenye fukwe au mija yenye joto). Nyumba mpya imenipa furaha kubwa. Somo: Mafundi na wachoraji wa ramani wetu (with all due respect) wanakosa exposure lakini wanaamini wanajua kila kitu. Tanzania tumejifungia Saną; tunahitaji kujifunza kutoka nchi nyingine. Tunahitaji kuwatia moyo watt wasafiri kwenda Afrika ya Kusini, Kenya na kwingine kote tukiwa tumefungua moyo na akili wa kutaka kujifunza. Kama unataka prime property/high end house, nakushauri uangalie njee ya mipaka ya Tanzania.Habari wana JF
Ni kosa gani ulilifanya kipindi unajenga na ungependa wengine wajifunze ili lisitokee kwao?
Tunaomba picha ya hio nyumba mpya tuwe inspiredNilitoka Ulaya nakiwa nime-save bilioni moja nikitaka nijengewe nyumba yenye ubora sawa na Ulaya. Mafundi wa Dar es Salaam ambar walikuwa wanafisiwa na watu wengi walinifanyia kazi ya hovyo kiasi kwamba maji ya moto yalikuwa hayatoki, nyumba inavuja, rangi haijapakwa vizuri. Tulikaa mwaka mmoja, tukaamua kuhama. Kwa kuwa kiwanja kilikuwa ni prime plot na ilinichukua miaka mingi kukusanya pesa za kukinunua. Sikutaka kuishi kwenye nyumba ambayo sikuwa na furaha. Nikaamua kuibomoa nyumba yote, nikakopa benki halafu nimkatafuta architect kutoka Afrika ya Kusini, nikachora ramani mpya. Nikatafuta kampuni ya ujenzi kutoka Cape Town (Wana uzoefu wa kujenga nyumba za kwenye fukwe au mija yenye joto). Nyumba mpya imenipa furaha kubwa. Somo: Mafundi na wachoraji wa ramani wetu (with all due respect) wanakosa exposure lakini wanaamini wanajua kila kitu. Tanzania tumejifungia Saną; tunahitaji kujifunza kutoka nchi nyingine. Tunahitaji kuwatia moyo watt wasafiri kwenda Afrika ya Kusini, Kenya na kwingine kote tukiwa tumefungua moyo na akili wa kutaka kujifunza. Kama unataka prime property/high end house, nakushauri uangalie njee ya mipaka ya Tanzania.
Akikutumia nitagTunaomba picha ya hio nyumba mpya tuwe inspired
Akikutumia nitag
Mbona bati nyingi sana mkuu kwa ukubwa wa hiyo nyumba yako! Nusu ya bati ningeweza kubali... yaani 80. Hata hizo mbao za 4x2 ni nyingi!View attachment 2855850View attachment 2855851View attachment 2855852hii nyumba namjengea bibi ina vyumba viwili,jiko na sebule ..kupaua fundi ameniambia inakula bati 150,4×2 mbao 160..
Fundi yupo sahihi na hesabu zake?
Au anataka kuniibia bati na mbao!!Mbona bati nyingi sana mkuu kwa ukubwa wa hiyo nyumba yako! Nusu ya bati ningeweza kubali... yaani 80. Hata hizo mbao za 4x2 ni nyingi!
Fundi kazingua,au unaagiza atakua ajenge yake pia pitia ela Yako,Mimi Ina vyumba 4 sebule, Dining na store...lkn fundi amekadilia itakula 120 bati. Take care!Mbona bati nyingi sana mkuu kwa ukubwa wa hiyo nyumba yako! Nusu ya bati ningeweza kubali... yaani 80. Hata hizo mbao za 4x2 ni nyingi!
View attachment 2855850View attachment 2855851View attachment 2855852hii nyumba namjengea bibi ina vyumba viwili,jiko na sebule ..kupaua fundi ameniambia inakula bati 150,4×2 mbao 160..
Fundi yupo sahihi na hesabu zake?
Ya nini kunishambulia sina akili? Mbona wenzako wame comment kistaarabu!Huna akili kabisa, hiyo nyumba ya kula bati 150 na wewe unakubali tu?
Chai na mandaziNilitoka Ulaya nakiwa nime-save bilioni moja nikitaka nijengewe nyumba yenye ubora sawa na Ulaya. Mafundi wa Dar es Salaam ambar walikuwa wanafisiwa na watu wengi walinifanyia kazi ya hovyo kiasi kwamba maji ya moto yalikuwa hayatoki, nyumba inavuja, rangi haijapakwa vizuri. Tulikaa mwaka mmoja, tukaamua kuhama. Kwa kuwa kiwanja kilikuwa ni prime plot na ilinichukua miaka mingi kukusanya pesa za kukinunua. Sikutaka kuishi kwenye nyumba ambayo sikuwa na furaha. Nikaamua kuibomoa nyumba yote, nikakopa benki halafu nimkatafuta architect kutoka Afrika ya Kusini, nikachora ramani mpya. Nikatafuta kampuni ya ujenzi kutoka Cape Town (Wana uzoefu wa kujenga nyumba za kwenye fukwe au mija yenye joto). Nyumba mpya imenipa furaha kubwa. Somo: Mafundi na wachoraji wa ramani wetu (with all due respect) wanakosa exposure lakini wanaamini wanajua kila kitu. Tanzania tumejifungia Saną; tunahitaji kujifunza kutoka nchi nyingine. Tunahitaji kuwatia moyo watt wasafiri kwenda Afrika ya Kusini, Kenya na kwingine kote tukiwa tumefungua moyo na akili wa kutaka kujifunza. Kama unataka prime property/high end house, nakushauri uangalie njee ya mipaka ya Tanzania.
Jamaa yupo sahihi. Mpaka unamjengea bibi maana yake ulishajenga yako(una kauzoefu). Kwa akili ya kawaida hiyo nyumba ni bati 150?Ya nini kunishambulia sina akili? Mbona wenzako wame comment kistaarabu!
Nyumba zote mbili nimejenga mfumo wa hidden roofing sijawahi kujenga hivyo.Jamaa yupo sahihi. Mpaka unamjengea bibi maana yake ulishajenga yako(una kauzoefu). Kwa akili ya kawaida hiyo nyumba ni bati 150?
bati 150? Unayaweka mawili mawili auView attachment 2855850View attachment 2855851View attachment 2855852hii nyumba namjengea bibi ina vyumba viwili,jiko na sebule ..kupaua fundi ameniambia inakula bati 150,4×2 mbao 160..
Fundi yupo sahihi na hesabu zake?
Bati zikiwa nyingi sana hapa no 70 ukipaua refu ni 80View attachment 2855850View attachment 2855851View attachment 2855852hii nyumba namjengea bibi ina vyumba viwili,jiko na sebule ..kupaua fundi ameniambia inakula bati 150,4×2 mbao 160..
Fundi yupo sahihi na hesabu zake?
Mafundi wote duniani ni wapuuzi yaani wee kaa nao benet kabisaa ndio utatoa kitu cha maana.Wasichokielewa wengi ni kwamba hao wataalamu mnaowasema hawana utaalamu wowote kuwazidi mafundi wapo mafundi wameenda shule wamepoteza miaka 5 au 3 utamuambia nini na yuko practical zaidi mainjinia wengi hawawezi na hawajui kazi ni makaratasi tu injinia mwenyewe anamtegemea fundi kufanya hesabu na ujenzi kiufupi ni amubane fundi yeye afanikiwe
Msiwadharau mafundi ila Mara nyng maboss ndio wanaosababisha nyumba kujengwa chini ya kiwango kumminya fundi unatoa hela ya material labda million 14 halafu hela ya ufundi laki 8 au million upaua nyumba kwa bati la kigae/versatile halafu hela kiduchu kwa ushauri wa paa nitafute inbox kukufanyia kazi ni ngumu kwani nabanwa Sana na muajiri Wang muda sipati na sipendi kuacha mafundi saiti wakaharibu kazi ya mteja