Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
AiseeeNilivyo uziwa sikua nagari.nikajenga nikamaliza nanjia yakuingilia nakutokea ilikuwepo kwasababu wakati waujenzi gari yavifaa ilikuwa inaingia Hadi site.sasa nimehamia nikakaa miezi6 nikanunua gari Alie niuzia tukaanza mgogoro mara apande miti sehemu ninayo pita mara aanzishe biashara yatofari sehemu ninayo pita kiasi chakubakisha kichochoro chawapita kwamiguu.nikampeleka kwamjumbe akaambiwa angoe miti yake akingoa sikuchache ana panda tena.nikaona Bora niuze nikajenga sehem salama yenye majirani wanao jielewa sio yule chawivu anaetamani kilamtu atembee kwamguu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app