Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
😀😀😀 Ukawa kama Dk Bilali aliyekuwa anatembea na kimkasi. Akifika sehemu akakuta kuna kitu cha kuzindua, anazindua hapo hapo...ahahaaa yaani acha kabisa mafundi walinifanya nikanunua tape measure ya kwangu kabisa nakuwa nayo kiunoni maana kwa kufuatilia vipimo,kila nikifika lazima niwaombe tape measure yao, sasa wakati mwingine wakiniona tu wanaficha yao,ikabidi niingie dukani nikifika site na vuta tu kuhakiki vipimo bac wanabaki kutizamana tu