Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,141
- 3,119
Kumuamini fundi kupitiliza
Kumlipa malipo yote kabla hajamaliza kazi
Kweli akili kisoda [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumuamini fundi kupitiliza
Kumlipa malipo yote kabla hajamaliza kazi
Akaishia kujengaa mwenyewee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli akili kisoda [emoji28]
Akaishia kujengaa mwenyewee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujenga ma nyumba ya kupangisha tena mikoani badala ya Lodge au Guest houseHabari wana JF
Ni kosa gani ulilifanya kipindi unajenga na ungependa wengine wajifunze ili lisitokee kwao?
Hatari sana mkuu! Ila ndo tunajifunza kutokana na makosa.Aisee hii mpaka leo najuta na sijarudi kweye mstali mpaka leo, kiwanja kile nimekinunua kama mala tatu zaidi
Kuna wafanyakazi wengi wa Tanesco wanapewa umeme unit 700+ kwa Tsh 10,000 ila hawafungi ACWell said,kuna raia anakwambia amejenga nyumba milioni 50 halafu anashindwa hata kumiliki AC ni uzwazwa
Mbezi kuna maeneo yana maji 24/7, yaani kuna kile kipindi maji yalikatika sana ila baadhi ya maeneo ni kama watu walikuwa wanaishi huko Masaki.Duh, mzee familia ya watu wangapii hiyo? Halafu maji kukatika mwezi mzima mbona ni nadra sana kwa hayo maeneo? Labda ukame kama wa mwaka jana
🤣🤣🤣kisoda tu punje za mchele nyau wewKweli akili kisoda [emoji28]
Well said,kuna raia anakwambia amejenga nyumba milioni 50 halafu anashindwa hata kumiliki AC ni uzwazwa
Amekushauri vibaya mkuuNilishauriwa Kujenga mashimo mawili ya choo,la square na duara ,sasa hivi wengi wananiambia naweza kutumia moja la duara,nawaza hili lingine la square kulifanya kisima cha kuvunia maji ya mvua .
sasa umbali wa shimo la maji taka na shimo la maji safi ni sqm moja ,japo hili la maji safi limesakafiwa ndani,wakuu huu ukaribu hautasumbua?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kisoda tu punje za mchele nyau wew
Aliwah kusema hili swala pia the late JPM, ukisubiri uwe na hela ndo ujenge hutakaa utoboe,Na utaishia kujengea nyumba ndotoni Kama unasubiri pesa zijae ndio uanze kujenga.
Ni kweli kwenye ujenzi ukisubiri pesa zijae huwezi kujenga hata siku moja ni busara kuanza na ulichokuwa nachoAliwah kusema hili swala pia the late JPM, ukisubiri uwe na hela ndo ujenge hutakaa utoboe,
Imagine 30milion unajua unachonoka na bonge la nyuma, kitu kikaishia kwenye gofu lenye mbao juu[emoji3][emoji3]