Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Kosa ambalo nisingependa wenzangu kuja kulirudia ni kufanya shughuli za Ujenzi ukiwa mbali.

Nimejikuta nimeingia Hasara zaidi ya Milioni 5.5.

Fundi anaomba materials alafu baadaye anaongea na Supply anapunguza idadi ya vifaa au wakati mwengine anaviuza pale pale Site 🙆
 
Pole mkuu mafundi wengi wa dar wanatamaa sana , wanataka kwenye ujenzi wa nyumba yako na yeye afanye finishing kwake
 
Sana Mkuu, alafu hajui mali ya wizi hata huwezi kuifanyia jambo la manufaa.

Hao mafundi wameniibia lakini hakuna cha ziada wamefanya zaidi ya kwenda kulewea hela zangu pamoja na kuhongea mademu.

Saivi nikitaka kujenga ni vyema niweke kambi hapo hapo hadi Ujenzi uishe kwa hatua niliyopanga
 
Kosa ambalo nisingependa wenzangu kuja kulirudia ni kufanya shughuli za Ujenzi ukiwa mbali.

Nimejikuta nimeingia Hasara zaidi ya Milioni 5.5.

Fundi anaomba materials alafu baadaye anaongea na Supply anapunguza idadi ya vifaa au wakati mwengine anaviuza pale pale Site [emoji134]
Hili limenikuta, lakini huyu fundi maku najua ntamkomeshea wapi!

Halafu rafiki yake kamtegesha loud speaker akawa ananisema vibaya, eti mi bahili na nalalia sana labour charge, kwahiyo ameniibia laki nne baada ya kupanga mbinu na supplier wa material

Namvutia kasi tu ngoja amalize ujenzi, hela ake simpi
 
1. Ni kweli wanawake bahili[emoji23][emoji23]
2. Ni kweli mafundi 95% wezi
 
Back
Top Bottom