Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Na wewe ni fundi?Oyaa nicheki basi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni fundi?Oyaa nicheki basi?
[emoji1787][emoji1787]Aliyekuwa anamrekodi sio fundi hata! Ni rafiki yangu tu tena yuko vizuri mnoo, katikati ya storee zao ndo akaanza sasa kujisifia jinsi alivyonipiga[emoji849][emoji849][emoji848]
Asee nilishangaa sanaa
Sihitaji maboga mkuuNa wewe ni fundi?
Ok!Sawa Ila nimeuliza Kwa nia mzuri kutokana na comment Yako na thread husika.Sidhani kama Kuna mahali tumejadili maboga katika jukwaa la ujenzi.Sihitaji maboga mkuu
Pole sana Mkuu, mafundi wengi wamekuwa sio waaminifu.Hili limenikuta, lakini huyu fundi maku najua ntamkomeshea wapi!
Halafu rafiki yake kamtegesha loud speaker akawa ananisema vibaya, eti mi bahili na nalalia sana labor charge, kwahiyo ameniibia laki nne baada ya kupanga mbinu na supplier wa material
Namvutia kasi tu ngoja amalize ujenzi, hela ake simpi
Ukubwa wa dirisha pamoja na mahala ulipoamua kuwapa kazi vitaamua gharama.Ivi jaman kuweka dirisha la aluminum 1 ni 800,000?
Umesema kweli kabisaUkitaka jua Watz wachafu angalia freezer na fridge zao
Nenda kwenye jiko la gesi toa zile stand za sufuria
Fungua thermos zao
Kagua kitchen basin zao
Asee ni noma sana....hivi fundi mi nimeamua kukupa ridhiki bado unaniiibia?Pole sana Mkuu, mafundi wengi wamekuwa sio waaminifu.
Kuna mmoja nilipoona ananiibia nikiwa mbali, nikafanya maamuzi ya kumpeleka Wife kusimamia.
Alichokifanya ilikuwa nikilipia kwa Supplier tofali 1000 basi yeye anamwambia Supplier apeleke tofali 750 badala ya 1000.
Hiyo siku nikatimba Site bila taarifa na nikaanza kuhesabu mwenyewe hizo tofali, mbona nilimtimua siku hiyo hiyo na huyo Supplier naye nikavunja mkataba naye pia.
Mafundi wanatuumiza sana Wajenzi, ujenzi wa Milioni 100 unaweza kuta unatumia milioni 120 usipokuwa makini
Inabidi uwe bandidu unapodeal na mafundi wa kibongo, otherwise unaweza kuta ujenzi usikamilike na hela zikawa hazitoshi kukamisha UjenziAsee ni noma sana....hivi fundi mi nimeamua kukupa ridhiki bado unaniiibia?
Mi ntakomaa nao hawa wapuuzi
Kabisa mkuuInabidi uwe bandidu unapodeal na mafundi wa kibongo, otherwise unaweza kuta ujenzi usikamilike na hela zikawa hazitoshi kukamisha Ujenzi
All the best Mkuu, najua utakuwa umeupitia uzi waliomtaja rafiki yako Kigosi kuhusu Kujenga. Wewe umejikomboa tayari 👏👏Kabisa mkuu
Hahaha ndio mkuu....na nimediss hataree[emoji1787][emoji1787]All the best Mkuu, najua utakuwa umeupitia uzi waliomtaja rafiki yako Kigosi kuhusu Kujenga. Wewe umejikomboa tayari [emoji122][emoji122]
NimekuelewaSana Mkuu, alafu hajui mali ya wizi hata huwezi kuifanyia jambo la manufaa.
Hao mafundi wameniibia lakini hakuna cha ziada wamefanya zaidi ya kwenda kulewea hela zangu pamoja na kuhongea mademu.
Saivi nikitaka kujenga ni vyema niweke kambi hapo hapo hadi Ujenzi uishe kwa hatua niliyopanga
Ndiyo ufanye kumkumbusha hata kiutani ajenge, mwambie kama wewe Ke umejenga yeye Me anashindwa nini😅, ikitokea mkagombana kwa kauli hiyo mimi nitajitolea kuwa mpatanishi wenu 🤪🏃🏃🏃Hahaha ndio mkuu....na nimediss hataree[emoji1787][emoji1787]
Ni kweli Mkuu, Waswahili tuna msemo wetu kuwa "Mgeni wakati wa kwenda sio wakati wa kurudi"Nimekuelewa
Kitu nilichojifunza kwenye ujenzi wa nyumba ya kwanza unakupa uzoefu ambao utautumia kwenye ujenzi mwingine
Kuna baadhi ya makosa hautayarudia
Hahahahhhaha sawa mkuuNdiyo ufanye kumkumbusha hata kiutani ajenge, mwambie kama wewe Ke umejenga yeye Me anashindwa nini[emoji28], ikitokea mkagombana kwa kauli hiyo mimi nitajitolea kuwa mpatanishi wenu [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]