Halafu dogo unazingua, niache. Mi naelezea jambo lililoniumiza halafu unacheka, na sio mara moja.kumtambulisha mpenzi wangu kwa rafiki yangu
'A woman who sleeps with a lot of men is a slut, a man who sleeps with a lot of women - a slut maker.'Wanawake ndio wanao saliti,wanaume hatusaliti tunaenda kwa Mke mwenzio.
Front kabisa nasubiri ili nami nisimulie changuNasimulia soon
Unachekesha tu na mambo yako. Sio dhambi.Halafu dogo unazingua, niache. Mi naelezea jambo lililoniumiza halafu unacheka, na sio mara moja.
Sawa.Unachekesha tu na mambo yako. Sio dhambi.
Acha ubabe.
Kuchelewa kwenda kazini kisa mabusu ya asubuhi asubuhiKatika hali ya kawaida watu wengi hujikuta wamefanya makosa mbali mbali ikiwamo ya Usaliti.
Makosa hayo yanaweza kufanyika kwa kukusudia au kwa kutokukusudia.
Wakati mwingine inakubidi ufanye kosa hilo ili uweze kufanikisha Jambo fulani.
Je limewahi kukutokea hili, na ulivukaje?