Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

Me sina cha kujutia, ila long distance relationship ipo na inafanya kazi vizuri sanaaaaa
 
Kuna siku nimerudi home mida ya saa moja. Ile nagonga mlango kumbe waif amekaa sehemu aone naingiaje. Mjinga Mimi Sina hili Wala lile house gel alipofungua mlango nikamkumbatia Kama vile ndio mke wangu.
Siku Ile sitaisahau upesi.
Ilikua kawaida yenu kukumbatiana na dada au ni ile siku tu?
 
Katika hali ya kawaida watu wengi hujikuta wamefanya makosa mbali mbali ikiwamo ya Usaliti.

Makosa hayo yanaweza kufanyika kwa kukusudia au kwa kutokukusudia.

Wakati mwingine inakubidi ufanye kosa hilo ili uweze kufanikisha Jambo fulani.

Je limewahi kukutokea hili, na ulivukaje?


Uaminifu, Sitakaa niwaamini hawa viumbe wa kike, hasa vikienda chuo.

Nilipigwa tukio 🤔
 
Back
Top Bottom