Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

Asilia 95 ya watu waliopo kwenye ndoaa wanajutaa kuwa na wenza wao hao.
 
kosa nililofanya ni kuwaacha wanawake wote nilio date nao, yaani nilikuaa nawalia timing penzi likinoga ndo napiga chini mtu kabla hata hajafikiria hilo.

nimeacha wanawake wengi hadi saivi nimeoa wife simuachi, nimekuja kujua maumivu ya kuachwa nikiwa nimeshaoa yaani ule mchepuko ulivoniacha imeniuma kishenzi.
 
Uliwaumiza sana Jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…