Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

Mimi sijaoa bado Ila tabia ya kujinyima ili nmfurahishe mwanamke ilinicost vibaya nilyumba kiuchumi wazee

hii stowahi fanya kosa hili Tena ntaish na kanuni inayosema "a boss provides 10% of what you produce"

Sasa kama mpenz wangu ananipikia ananifulia, anasafisha nyumba
it means kama unapokea 400k tuseme 40k(10% of 400k ya production yake )🤣ndio itamtosha na sitaki mjadala juu ya hili
 
Mchepuko kunichezea mchezo wa ajabu, jogoo akawa hasimami pale ninapokutana na bi mkubwa.
Kwa mazingira hayo, imenifanya kila mwanamke ninayekutana naye nampiga mkwara, kuwa mimi ni nabii.​
 
Binafsi sitarudia kuachana na mwanamke alienisalit maana hata nlipoelekea sikuwahi kuiona tofauti

Zaidi nmejikuta nna roho ngumu ya kuvumilia ujinga, tabia ambayo mwanzo sikua nayo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…