Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

Mfanyie mpenzi wako kile kizuri unachojisikia Moyoni. Mpende na umjali vilivyo
 
Mchepuko kunichezea mchezo wa ajabu, jogoo akawa hasimami pale ninapokutana na bi mkubwa.
Kwa mazingira hayo, imenifanya kila mwanamke ninayekutana naye nampiga mkwara, kuwa mimi ni nabii.​
Yani bado hujakoma 😅😅😅🙆🏻‍♀️
 
Hakuna kosa nililowahi kufanya mi ni mtu loyal ila huwa sina moyo wa msamaha kwa makosa yasiyo stahili kusamehe
Sio kitu kizuri makosa tumeumbiwa binadamu Luchaa 😜
 
Mchepuko kunichezea mchezo wa ajabu, jogoo akawa hasimami pale ninapokutana na bi mkubwa.
Kwa mazingira hayo, imenifanya kila mwanamke ninayekutana naye nampiga mkwara, kuwa mimi ni nabii.​
🤣🤣🤣 nabii wa nini
 
Kuna siku nimerudi home mida ya saa moja. Ile nagonga mlango kumbe waif amekaa sehemu aone naingiaje. Mjinga Mimi Sina hili Wala lile house gel alipofungua mlango nikamkumbatia Kama vile ndio mke wangu.
Siku Ile sitaisahau upesi.

Baharia ulinasa kizembe sana 🤣🤣🤣
 
Kuoa hii mbunga yangu hapa pembeni yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…