Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

Me sina cha kujutia, ila long distance relationship ipo na inafanya kazi vizuri sanaaaaa
 
Kuna siku nimerudi home mida ya saa moja. Ile nagonga mlango kumbe waif amekaa sehemu aone naingiaje. Mjinga Mimi Sina hili Wala lile house gel alipofungua mlango nikamkumbatia Kama vile ndio mke wangu.
Siku Ile sitaisahau upesi.
Ilikua kawaida yenu kukumbatiana na dada au ni ile siku tu?
 


Uaminifu, Sitakaa niwaamini hawa viumbe wa kike, hasa vikienda chuo.

Nilipigwa tukio 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…