Ni kosa kisheria kumhonga au kumshawishi shahidi kwa zawadi ili atoe ushahidi

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa.

Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru wafuatilie nyendo za watakao shawishi na watakao pokea hizo zawadi.

Kitu kingine chama cha siasa (CCM) kuingilia utendaji wa tume inapoteza uhalali wa kuwa tume huru.
 
Mkuu 'Quinine'; hii habari ungeipa 'background' kidogo ingefaa zaidi kuliko ulivyoiwasilisha hapa.

Hao "CCM" ni kina nani; viongozi wa chama; akina nani?

Hii taarifa waliitangaza kwenye vyombo vya habari ili iwafikie wananchi?

Kwa kifupi, hii taarifa itakuwa ni ya kusikitisha sana kama ni kweli CCM inahimiza jambo kama hilo la uhalifu kabisa mbele za watu.

Kama ni kweli, ni wazi kabisa Tanzania tupo chini ya utawala hatari sana kuliko tunavyofikiri.
 
Anna Tibaijuka ameshatusanua kwamba Tume ya Kijaji pekee ndiyo ingeweza ķuwafanya wahuni wachomoe ICC.

Hii tume nyingine ya mchongo ni kupotezeana muda tu na hata kupata njia ya kuwapoteza mashahidi kabla kesi ya ICC haijaanza kuunguruma.

Tume gani hiyo ambayo wanaweza kukuita, ukawajibu "Siji, matako yenu" halafu hawana cha kukufanya.
 
Wameona watu wameishtukia na hawaipi ushirikiano, na lengo la hiyo tume ni moja tu, kuwajua wale wote wenye crucial evidence ili iwanyake na kuwapoteza haraka iwezekanavyo kabla hawajatoka hadharani na kuuanika, ile kuwahoji akina januari is just a bait! Watu wanavutwa ili wajichanganye na mwisho wapewe lift ya lazima kwenye landcruiser hardtop kuelekea to their final destination, God forbid.
 
HAY44OpbQAAmQu3.jpeg
 
Pamoja na kuundwa na rais lkn ikikosa uhalali wa kitaifa inakuwa haina nguvu.
 
Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa.

Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru wafuatilie nyendo za watakao shawishi na watakao pokea hizo zawadi.

Kitu kingine chama cha siasa (CCM) kuingilia utendaji wa tume inapoteza uhalali wa kuwa tume huru.
CCM wamechanganyikiwa ndio maana wanaropoka tu....
 
Wameona watu wameishtukia na hawaipi ushirikiano, na lengo la hiyo tume ni moja tu, kuwajua wale wote wenye crucial evidence ili iwanyake na kuwapoteza haraka iwezekanavyo kabla hawajatoka hadharani na kuuanika, ile kuwahoji akina januari is just a bait! Watu wanavutwa ili wajichanganye na mwisho wapewe lift ya lazima kwenye landcruiser hardtop kuelekea to their final destination, God forbid.
Hii taarifa inafaa kusambazwa nchi nzima, kuwapa tahadhari ya hatari kubwa itakayowakuta wote watakaokwenda kutoa ushuhuda kwenye Tume Feki ile.

Lengo kuu ni kuwatambua hao watu walio na ushahidi ili wawadhibiti.
Hali hii ilijitokeza Kenya, na mashahidi wengi kuuliwa au kuhongwa pesa ili wasishiriki kwenye kesi ya Uhuru Kenyatta na William Ruto huko ICC. Matokeo yake kesi ikavurugika.

Hawa wapumbavu wanatumia mbinu zilezile.
 
Hawa washenzi wamefikia hatua ya kuwaona waTanzania wote kuwa ni biashara inayouzwa kwa bei wanayotaka wenyewe; hawana utu tena ndani yao.

Sielewi hii dharau yote inatokana na nini hasa!; kuwa na mitutu ya bunduki?
CCM ilipofikia haitegemei tena kura za wananchi bali polisi ndio kura zao.
 
Hili swala la CCM mimi nilishaondokana nalo siku nyingi sana, hadi kulianzishia mada humu humu JF.

Hakuna chama cha siasaa tena kinachoitwa CCM; kilichopo ni kundi la watu waovu sana wanaotumia jina hilo kuvuruga taifa kwa manufaa yao binafsi wakitumia dola kutimiza matakwa yao.
 
Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa.

Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru wafuatilie nyendo za watakao shawishi na watakao pokea hizo zawadi.

Kitu kingine chama cha siasa (CCM) kuingilia utendaji wa tume inapoteza uhalali wa kuwa tume huru.
TUme yenyewe haina uhalali ethically..kama uchaguz wa 2025.
Mwendelezo wa matumizi mabovu ya rasilimali za nchi maskini.
 
Back
Top Bottom