Mkuu 'Quinine'; hii habari ungeipa 'background' kidogo ingefaa zaidi kuliko ulivyoiwasilisha hapa.Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa.
Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru wafuatilie nyendo za watakao shawishi na watakao pokea hizo zawadi.
Kitu kingine chama cha siasa (CCM) kuingilia utendaji wa tume inapoteza uhalali wa kuwa tume huru.
Mkuu 'Quinine'; hii habari ungeipa 'background' kidogo ingefaa zaidi kuliko ulivyoiwasilisha hapa.
Hao "CCM" ni kina nani; viongozi wa chama; akina nani?
Hii taarifa waliitangaza kwenye vyombo vya habari ili iwafikie wananchi?
Kwa kifupi, hii taarifa itakuwa ni ya kusikitisha sana kama ni kweli CCM inahimiza jambo kama hilo la uhalifu kabisa mbele za watu.
Kama ni kweli, ni wazi kabisa Tanzania tupo chini ya utawala hatari sana kuliko tunavyofikiri.
Pamoja na kuundwa na rais lkn ikikosa uhalali wa kitaifa inakuwa haina nguvu.Anna Tibaijuka ameshatusanua kwamba Tume ya Kijaji pekee ndiyo ingeweza ķuwafanya wahuni wachomoe ICC.
Hii tume nyingine ya mchongo ni kupotezeana muda tu na hata kupata njia ya kuwapoteza mashahidi kabla kesi ya ICC haijaanza kuunguruma.
Tume gani hiyo ambayo wanaweza kukuita, ukawajibu "Siji, matako yenu" halafu hawana cha kukufanya.
Inaanza kwanza kwa kukosa uhalali wa kisheria na kimamlaka. Mengine ndiyo yanafuata.Pamoja na kuundwa na rais lkn ikikosa uhalali wa kitaifa inakuwa haina nguvu.
Mtego huoo!!
CCM wamechanganyikiwa ndio maana wanaropoka tu....Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa.
Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru wafuatilie nyendo za watakao shawishi na watakao pokea hizo zawadi.
Kitu kingine chama cha siasa (CCM) kuingilia utendaji wa tume inapoteza uhalali wa kuwa tume huru.
Hawa washenzi wamefikia hatua ya kuwaona waTanzania wote kuwa ni biashara inayouzwa kwa bei wanayotaka wenyewe; hawana utu tena ndani yao.
Hii taarifa inafaa kusambazwa nchi nzima, kuwapa tahadhari ya hatari kubwa itakayowakuta wote watakaokwenda kutoa ushuhuda kwenye Tume Feki ile.Wameona watu wameishtukia na hawaipi ushirikiano, na lengo la hiyo tume ni moja tu, kuwajua wale wote wenye crucial evidence ili iwanyake na kuwapoteza haraka iwezekanavyo kabla hawajatoka hadharani na kuuanika, ile kuwahoji akina januari is just a bait! Watu wanavutwa ili wajichanganye na mwisho wapewe lift ya lazima kwenye landcruiser hardtop kuelekea to their final destination, God forbid.
CCM ilipofikia haitegemei tena kura za wananchi bali polisi ndio kura zao.Hawa washenzi wamefikia hatua ya kuwaona waTanzania wote kuwa ni biashara inayouzwa kwa bei wanayotaka wenyewe; hawana utu tena ndani yao.
Sielewi hii dharau yote inatokana na nini hasa!; kuwa na mitutu ya bunduki?
Hili swala la CCM mimi nilishaondokana nalo siku nyingi sana, hadi kulianzishia mada humu humu JF.CCM ilipofikia haitegemei tena kura za wananchi bali polisi ndio kura zao.
TUme yenyewe haina uhalali ethically..kama uchaguz wa 2025.Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa.
Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru wafuatilie nyendo za watakao shawishi na watakao pokea hizo zawadi.
Kitu kingine chama cha siasa (CCM) kuingilia utendaji wa tume inapoteza uhalali wa kuwa tume huru.