iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 220
Unapatikana mitaa gani mkuu?
Du! Huyu nae mtanzania mwenzetu kweli?
wewe ni msaliti kama wasaliti wengine .unastahili kupigwa risasi hadharani huku wimbo wa taifa ukipigwa.baada ya kuuawa watz tunashangilia wote kifo chako.nyamafu we!!!!
Huyu jamaa anatakiwa kuhama nchi
Huko kufanya vibarua kwa Waarabu kusikufanye na wewe ujione Mwarabu.
Hizi ndio akili kama za Jecha wa ZEC
Mkuu nakuunga mkono kama mwafrika halisi , umefikiria nje ya box , tanzania tunaitaji tuwekeze ili kufanikiwa nashangaa leo watu wamejitwisha matumaini tele ya ushindi wakati hali halisi inajulikana , tunaomba haki itendeke Tanzamia 1 Algeria 4. mungu ibariki africa
Napingana na mleta mada kwa sababu zifuatazo
1. Twnzania nasi tunahiyaji kukuza soka letu. Hivyo kwa kuwafunga hawa hata kiwango chetu kwenye viwwngo vya FIFA kitapamda
2. Tanzania nasi tunahitaji kuwa mwakilishi wa Afrika siku sijazo hivyo lazima tuwafunge
3. Wachezaji wa Tanzania wanah taji kufikia kiwango cha akiwa Samata au zaidi yao. Sasa kuwafunga hawa jamaa kutaonyesha kukua kwa kiwango hicho na hivyo kuhitajika kwenye timu kubwa zaidi duniani.
4. Kukuza soka la Tanzania kutawafanya wanatanzania wapende zaidi soka na hivyo kuongeza kipato kwa TFF na wadau wengine kupitia soka.
NB: MNAMPINGA MLETA MADA TOENI SABABU NA SI KUJIFANYA WWZALENDO ZAIDI YAKE WAKATI KAWAPA SABABU....... WALIOPINGA HADI HAPA WAMEWNDIKA KWA HISIA TU... WENGI WENU HATA SOSEJI MNATUMIA ZA KENYA.... TIMU ZA MICHEZO MBALIMBALI MNASHANGILIA ZA NJE.... JUZI MMEMSHANGILIA SAMATA WAKATI MNASAHAU HUYO NAYE ALANZIA HUKU