iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 220
Ni kosa kubwa kuifunga Algeria na kuwakosesha nafasi ya kushiriki kombe la dunia 2018, Wamekuwa wakiiwakilisha vizuri Afrika katika mashindano hayo kwa kuwa wana timu nzuri.
Nimeamua kuwaunga mkono Algeria leo kwa ajili ya uwakilishi bora wa Afrika kwenye Kombe la Dunia.
Hatuna timu ya kujivunia kwenda Urusi na ni kujidanganya na kupotezeana muda kuamini kama tunastahili kushinda tufungwe leo ili kuamini kuwa hakuna njia ya mkato kupata mafanikio tunayo fursa nzuri ya kuandaa kizazi cha kwenda Qatar 2022 na sio sasa.
Sioni ushindi wetu utatokea wapi kwa kizazi hiki kisichaoandaliwa tukutane 2022, Ni mtazamo wangu!