Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sifa ya kuwa mtanzania lazima uwe lofa na mpumbavu?
Kufikiria kwamba Taifa stars wanaweza kufuzu kucheza kombe la dunia ni sawa na kupigia ccm kura ukiamini watawafunga mafisadi na kupigania rasilimali za nchi iwanufaishe wananchi.
Kama kungekuwa na mpira wa maneno ya vijiweni angalau watanzania ipo siku tungefuzu na kuchukua kombe.
Mkuu nakuunga mkono kama mwafrika halisi , umefikiria nje ya box , tanzania tunaitaji tuwekeze ili kufanikiwa nashangaa leo watu wamejitwisha matumaini tele ya ushindi wakati hali halisi inajulikana , tunaomba haki itendeke Tanzamia 1 Algeria 4. mungu ibariki africa
Nashkuru kwa kuliona hili.Kwakweli nikikumbuka jinsi hawa Algeria walivyoikamata German kombe la dunia lililopita..nakata tamaa nasema haiwezekani..
sisi tuache porojo tujipange 2022..akina Samata na Ulimwengu hawatoshi kutuvusha hii sio siasa..
mleta mada unaposema kua ni kosa kubwa kuwafunga Algeria hujioni kua wewe ni PIMBI
Hio timu unayoiona wewe kua ni bora iweje ikifungwa na Tanzania useme kua tutaonekana ni wasaliti?
Ili tuwaamini kua wao ni bora kuliko sisi lazima watufunge otherwise sisi tutakua ndio wawakilishi wazuri kama tukiwafunga
"usipokua mwaminifu kwa jambo dogo huwezi kua mwaminifu kwa jambo kubwa"
Tatizo Watanzania hawapendi kuambiwa ukweli, yaani hata kama anaumwa anataka umwambie mazuri tuu hata kama anakosea. Hii timu ni mbovu, ni mbovu kabisa. Hivi hii Algeria angeamua akomae ka alivyomkomalia Ujerumani unadhani pale Taifa tungewaza kuzuia kipigo cha 5-0!? Tushukuru majamaa wametutunzia heshima Uwanjani kwetu.
Algeria inapatikana Africa lakini jamaa ni waarabu ndo mana wapo kwenye arab league na wala hawawezi jitambulisha kama yeye ni muafrica...
Mkuu iron finger nakupa LIKE. button ya like haipo hivyo chukua hiyo. Hata tuwafunge magoli mia tanzania hatuendi popote kamwe. Sasa roho ya kwa nini inatoka wapi. Ndio maana wenzetu weupe wanaendelea. Kung'ang'ania vitu ambavyo havina tija kwetu ya nini, itakuwa na msaa gani, pia kuwatoa algeria tutafaidika na nini, ubinafsi umetuzidi sana ndio maana tutabaki kuangalia world cup kwenye tv tu
Binti kiziwi umesikia matokeo?Kama wana kiwango si waifunge stars? As simple as that. Kama nimemuelewa vizuri mleta mada anataka stars wacheze kilege lege ili kutoa nafasi kwa Algeria kushinda na wasonge mbele kwa kuwa stars hawafai! Akili zingine hizi jamani!
Vipi mkuu? 7-0, agg 9-2Usitake kusema leo wanaenda kututunzia heshima kwao kwa kutuacha tuwatoe,Tuliwazidi na tunawatoa tar 17 sasa kama ni kosa ndo tunalitenda leo kwa ufanisi mkubwa.
Kama wana kiwango si waifunge stars? As simple as that. Kama nimemuelewa vizuri mleta mada anataka stars wacheze kilege lege ili kutoa nafasi kwa Algeria kushinda na wasonge mbele kwa kuwa stars hawafai! Akili zingine hizi jamani!
Algeria inapatikana Africa lakini jamaa ni waarabu ndo mana wapo kwenye arab league na wala hawawezi jitambulisha kama yeye ni muafrica...
ulivyoelewa chukulia hivyo hivyo, button, kitufe, icon, fimbo, anything. Ni wewe tuButton ya like haipo?......
ulivyoelewa chukulia hivyo hivyo, button, kitufe, icon, fimbo, anything. Ni wewe tu