Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na alikuwa MZALENDO wa kweli as compared to Samia.


Jiwe alikuwa na sera gani thabiti za uchumi? Mikopo alikuwa akichukuwa kwa siri tena mikopo mibaya sana (mikopo ya kibishara) ambayo ndiyo inalitesa serikali ya mama Samia.

Jiwe alikuwa anaua sekta binafsi kwa kuwachukia , kuwapora na kuwafilisi wafanyabiashara.

Usirudie tena kumsifia jiwe, utaipata laana ya bure tu.
 


Nimekuuliza unajua maana ya Kituo Cha Afya lakini? Kama unajua unaifahamu gharama zake au ndio huo utumbo unaosema inafanana na nyumba ya Kijiji?

Sihitaji kurudia nimeshajibu idadi ya Vituo vya Afya hata hizo health facilities zote takwimu zipo na nimekuwekea hapa πŸ‘‡



Unazungumzia Hospital za Rufaa,kwani Awamu ipi haijanga hizo hospital? Kigoma ,Songea,Shinyanga ,Mbagala nk kote huko Hospital Mpya za Rufaa zinajengwa.

By the way 80% ya wateja wa Huduma za Afya wanaenda kwenye Huduma za msingi yaani District to Zahanati) Kwa muktadha huo ni sahihi kabisa Kwa Samia kuwekeza zaidi kwenye ngazi ya msingi na amewekeza kuliko Rais mwingine yeyote sio tuu majengo Hadi vitendea kazi.

Mwisho yaani bila aibu unalingia Vituo vya kutokea Huduma 8,000 Kwa miaka. 5 sawa na ongezeko la Vituo elfu 2 tuu? 😁😁😁😁😁

Ona jinsi Mama anavyowaaibisha Kwa namba hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C6_ijS-KeVj/?igsh=aDFpdjZoc3c3NGdp
My Take: Usiwe unalinganisha Samia na loosers,utaaibika hakuna wa kumfikia kwenye delivery Kwa sekta yeyote πŸ˜„πŸ˜„
-Digital X-rays
-Uktra Sound
-CT Cans
-MRI Machines

View: https://www.instagram.com/p/C6_iKzWqn7k/?igsh=MWtwZ3kzZTdrc3d2aw==
 
kumsifia au kumwelezea? MAGU alikuwa rais kwelikweli.
 
sunk namba tena, mafuta 1880/=Kwa 3440/=, dola 2100/=Kwa 2880/=,Bado habari ya miradi,au unataka namba zipi au za oven.
Unaweza kunipa bei na namba za 2015/16 Ili tuone kama Mwendazake alishusha? 😁😁😁😁

Kawaida ya Uchumi na maisha ni gharama kuongezeka ndio maana parachichi 1 unalonunua jero hapo Mbeya,Sweden au Finlandi ni 40,000-50,000.

Mwisho leta namba za ongezeko la vitu tangible kwenye uchumi sio upumbavu wako,niambie magorofa mangapi,viwanda vingapi,mashuke mangapi,mahospital mangapi,maji,Ajira, uwekezaji ,Utalii kiasi gani nk nk sio ujinga wa sijui nauli sijui nini na blaa blaa kama hizo.

Rais anapimwa kwa vitu vya msingi kama ongezeko la uzalishaji kama hivi πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1797553130391077134?t=FE98g4SjmJxe0dtNqtd20Q&s=19
 
Wewe ni mnufaika wa hii trend,Kuna hii ya dola kuadimika nayo unajibu gani pamoja na mafanikio unayoyasema?
 
Vituo vinajengwa kwa hela ya mkopo huo ndo ukweli . Cha muhimu wewe onyesha vituo hivyo na thaman yake kama gharama zinaendana. Je ni majengo tu ndo unasifia? Au vifaa na dawa vipo vya uhakika.?
 
Vituo vinajengwa kwa hela ya mkopo huo ndo ukweli hata ukibana kalio kukataa. Cha muhimu wewe onyesha vituo hivyo na thaman yake kama gharama zinaendana. Je ni majengo tu ndo unasifia? Au vifaa na dawa vipo vya uhakika.?
Kwani hela ya Mkopo sio hela ya serikali? Si utalipa?

Unavikumbuka Vituo vya tozo za miamala? Mwisho kinachotakiwa ni Vituo vya Huduma hela iwe ya Mkopo sijui ya nini ni Vituo hivyo
 
Hapana, anasema ukweli, tofauti ya Samia na Magufuri ni hivi:

Pros:
Magufuri aliwaza, alikuwa ana Vision (SGR, Nudhamu, Stiegler, Infracture investments, etc etc); alikuwa Genius, alikopa pesa kujenga train, watu watapanda tutalipa nauli na mizigo hela itakuja. Alikopa kulipa Bwawa, umeme utazalishwa industrial growth viwanda vitajengwa, ali-inest kwenye Meli za Mizigo, Victoria, Tanganyika Lake, Nyasa - border trade- hela itaingia na foreign exchange. Alinunua ndege to boost mobility na tourism- fedha zinaingia baada ya watu kusafiri.

Ali-invest kwenye human development, capital - Dodoma, ingawa inachukua pesa lakini alitaka kuonda gharama za kuwa na capital mbili Dar na Dodoma- now we see, it is going well.

Cons:
He was a dictator
One man Show
Hakuweza kujieleza vizuri kwa sababu alikuwa negative na media.

Huyu SAMIA: Haeleweki, hata budget zake pesa zinatoka wapi hatujui.

Pros:
Ati ana huruma - hivi kweli raisi inabidi awe na huruma
Mafisadi wote wanasherehekea
Anaongea ki-mama

Consos
Sidhani kama ana upeo wa mambo ya great thinkers
Kafunguria kila kitu kibaya kama wakati wa kikwete
Hajui anafanya nini yeye anafikiri watanzania wanahitaji pesa za kukopa tu wala hajishughulishi na domestic production hasa viwanda.
Si kiongozi, bali anaongozwa - kuna proxy

Fikiria kwa nini Magu pamoja na kuwa na vision kubwa kiasi kile lakini akawa dictotor? Mind boggling!!
 
Kaka wewe tulia tu hata hujui sekta binafsi ikoje!
Unasikia Makelele tu ya machawa! Sekta bunafsi uchwara ndo unayoona Samia kawezesha!
Sekta binafisi ya wizi na ujaza Wachina maana nijuavyo mimi hakuna mwekezaji wa maana alokuja kuwekeza tofauti wakati wa Samia!
 
Reactions: G4N
Kwa mfano inflation imetokea kwa sababu sera za Exportations hazi favor exportation,Kama taifa tunafanya zaidi importation, hivyo wanauchumi kwa kuangalia trend , wanaona wazi by 2025 tutakuwa na hali ya Zimbabwe ya mugabe

Wewe endelea kutembea na vipicha vyako visivyokuwa na impact yoyote kwa taifa
 
Kumbe Magu hakufanya lolote? Huo ndio uelewa wako mkuu!!! Kazi kweli kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…