Ni kosa kumlinganisha Rais Samia na Hayati Magufuli

Kweli kabisa Samia ni rais wa cheo tu
 
Sifa ya rais muuaji na mkatili ni kuua watu wengi kwa vikosi vyake vyovyote. Hebu orodhesha watu unawajua wameuliwa na magufuli tuone kama ana sifa ya uuaji. Orodhesha majina na jinsi na wapi wameuliwa na sio blah blah.
akikujibu nitagi nipo hapa Kwa Kabula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…