Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Siyo kosa ni makubaliano either akatae au akubali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kosa ni makubaliano either akatae au akubali.
Kwani amemtongoza akiwa kazini au nje ya kazi?Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha kumhitaji kimahusiano (kumtongoza).
Naomba nijue kama kutongoza kiongozi ni kosa kisheria au hii imekaaje?View attachment 1955815View attachment 1955816
Mwanzo nilijua kamweka ndani Kiunyumba kumbe ndani ya Mahabusu duuh!!!Katika pitapita zangu, nikajikuta wilaya ya Newala, nikiwa katika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta kuna story ya mwaka juzi ambapo mkuu wa wilaya ya hapo ambaye kwasasa yuko wilaya ya Mbinga alimweka ndani kijana mmoja mwendesha bodaboda baada ya kijana huyo kumpigia simu na kuonesha kumhitaji kimahusiano (kumtongoza).
Naomba nijue kama kutongoza kiongozi ni kosa kisheria au hii imekaaje?View attachment 1955815View attachment 1955816