Hii ndo koment takataka niliyokutana nayo siku ya leo..Siku hizi degree ni degree tu
Hongera!Hii ndo koment takataka niliyokutana nayo siku ya leo..
Ah wapi zipo kozi nyingine hazina mantiki, ukizingatia vijana wengi wanasoma Tz wanawaza kuajiriwa.KIla kozi inaumuhimu.
Shida AI zime replace kazi zenu nyingiNimesoma computer science nafanya data science, data analytics ,machine learning lakini naomba kazi sipati nashindwa kuelewa kipind icho najua instructional design content π lakini nashindwa kuelewa kwamba shida nini
Akili yako umeiseti kusjiriwa tu fanya content au freelance kazi kibaoNimesoma computer science nafanya data science, data analytics ,machine learning lakini naomba kazi sipati nashindwa kuelewa kipind icho najua instructional design content π lakini nashindwa kuelewa kwamba shida nini
Wewe ni mzembe sana.Nimesoma computer science nafanya data science, data analytics ,machine learning lakini naomba kazi sipati nashindwa kuelewa kipind icho najua instructional design content π lakini nashindwa kuelewa kwamba shida nini
Hayo mambo ya kukariri ni shida sana,hapa ofisini kwangu mimi kuna watu 2 mwaka huu wamepata ajira kwa kazi hiyohiyo,paper work kuieliminate kabisa itachukua miaka mingi sana hasa huku kwetu Africa...Wakuu,
Kuna kipindi Nilikuwa nataka kusoma kozi ya Basic Records & Archives Management. Wiki chache kabla ya ku-apply nikakutana na mjomba angu mmoja kasoma soma kidogo. Nikamuelezea nilichokuwa nataka kusoma
Badala ya kunipa support akainama akaniuliza "Kwa jinsi internet inavyoshika kasi duniani unadhani ni kampuni itakayomlipa mtu mshahara wa kupanga mafile wakati taasisi zote zinaingia kwenye mifumo ya e-office?"
Sikuwa na cha kumjibu ila nilibadilisha uamuzi
Nyie vipi, ni kozi gani ukisikia mtu anasoma unasikitika?
Kabisa m,hakuna degree yenye u special tusidanganyaneSiku hizi degree ni degree tu
Nashangaa wanabisha!Kabisa m,hakuna degree yenye u special tusidanganyane