mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 3,736
- 5,374
Kuna Academic Degree na Professional Degree ukishajua tu tofauti zao basi utaachagua Fungu lililo jemaAh wapi zipo kozi nyingine hazina mantiki, ukizingatia vijana wengi wanasoma Tz wanawaza kuajiriwa.
Unakuta eti
"Bachelor of Life Long Learning & Community Development" kuna dogo nilimwambia thubutu.
Eti "Bachelor of Public Administration and Youth Development ". Labda kwa vile serikali imeibuka na wizara ya vijana.
Eti "Bachelor of Development Studies" 🤔
Kuna kozi nyingine inafaha usome ukiwa una mipango yako mingine binafsi. Ila kama target ni kuwin soko la ajira utalia na kusaga meno.