Ni kozi gani ukimuona mtu anasoma chuo unabaki unasikitika?

Kuna Academic Degree na Professional Degree ukishajua tu tofauti zao basi utaachagua Fungu lililo jema
 
Nimesoma computer science nafanya data science, data analytics ,machine learning lakini naomba kazi sipati nashindwa kuelewa kipind icho najua instructional design content πŸ˜€ lakini nashindwa kuelewa kwamba shida nini
Connection kaka,
 
Kuna jaama yangu tulikuwa tunafanya naye kazi za software development, yeye aliajiriwa kama wa Data entry na alisoma Finance Management IFM. Alikuwa na passion sana ya kuwa developer mpaka akafanikiwa kuwa programmer tena mzuri tu bila kusomea
 
Bachelor of kiswahili
Bachelor of Theology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…