Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
000_Nic6479399-1-e1440587373884.jpg

Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,

Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.

Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo

Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.

Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
 
Din zote kubwa mbili ni kama zinajipendekeza kwa wayahudi tu , kwangu mimi naona wote tu wanajipendekeza ,ni kama watoto tu hakukosekan yule yuko karibu zaid na wazazi sema mzaz hampendi atafanyaje sasa na wakati tayari ni mwanae.
 
Wakristo ndio wanadhani wayahudi wana ukaribu nao ila ukweli ni kwamba kwa wayahudi ukristo ni takataka, kwa hali hii ni wazi wakristo wanajipendekeza wasikohitajika.

Kwa waisalm ipo wazi wao wapo upande wa waarabu, hao waarabu na wayahudi haziivi
 
Ni kama tu wavaa kobazi na waarabu.
Baadhi ya waarabu ni waisilamu pia kitabu chetu kimeandikwa kwa kiarabu hata mtume wetu alikuwa muarabu hata biblia ilitolewa kwenye lugha yake ya asili na kuandikwa kwa kiswahili ifahamike lugha ya kiswahili maneno yake mengi ni ya kiarabu hata biblia maneno yake mengi yametoka kwenye kiarabu ni ngumu mkiristo kuamini lakini ndio ukweli heti lugha ya kiarabu ya majini huku biblia imeandikwa kwa lugha hiyo mnayo ita ya majini hata lugha mnayo itumia kila siku imetokana na lugha ya kiarabu wakirito wengi hananazo[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Ni kama wewe na wakristo maana unawaandama sana
Mi naleta dacts, kama zinakuuma usianze visingizio bali leta facts kupinga ama kuzikubali ujifunze,

Wakristo ngome zao zipo huko Italia na Vatican nchi za Ulaya.

Huko Israel kuhitaji ukaribu nao wakati wao hawautambui ni nini kama sio kujipendekeza sehemu usiyohitajika ?
 
Wakristo ndio wanadhani wayahudi wana ukaribu nao ila ukweli ni kwamba kwa wayahudi ukristo ni takataka, kwa hali hii ni wazi wakristo wanajipendekeza wasikohitajika.

Kwa waisalm ipo wazi wao wapo upande wa waarabu, hao waarabu na wayahudi haziivi
Uislamu si dini ya waarabu wala hakuna muarabu ana mamlaka kwenye uislamu , uislamu ni dini ya Allah( subhana huwataala) acha kunasibisha mambo yasiyofanan hata kidogo .

Ndiyo quran imeshuka kwa lugha ya kiarabu ila hii hauufanyi uarabu ukawa ni taifa fulani kwa waislamu hakuna uhusiano huo .
 
Ni kweli nami natambua hilo lakini uhalisia ni tofauti sana,

Waarabu katika uislam huonekana ndio icon kuu ya uislamu na ukitaka kuamini hili angalia tu hata tamaduni zao zinavyopewa kipaumbele kuzidi tamaduni za waumini hasa waafrika,,,,, kuanzia kuoa, mazishi, kukaa, n.k, hata majina wengi hufuta majina ya ukoo wanaweka la kiarabu.

Hata kwa dini tu waarabu nao hujiona ni superior, uarabuni kuna ubaguzi wa hali ya juu, hawaruhusu mabinti zao kuolewe na watu weusi kuzidi wao (wakiwemo wasomali), Labda uwe na mkwanja mrefu mno
 
Dini zote Ukiristu na Uislamu ni utumwa na ujinga uliovuka mipaka. Wanasiasa wakubwa hutumia hizi dini kuwavusha kufikia malengo yao ila ukweli ni upuuzi tu
 
000_Nic6479399-1-e1440587373884.jpg

Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha,

Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k.

Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu kwao hawamtambui, ila nguvu wanayotumia wakristo kulazimisha ukaribu na wayahudi inashangaza sana kiasi cha kuonekana wazi wakristo wanajipendekeza maana wao wayahudi hawautambui ukristo

Mjumuisho wa dini ya kikristo israel ni kwamba asilimia 1 tu ni wakristo, yani hapa katika waisrael 100 kuna mkristo moja tu.

Kwao hawamtambui Yesu kwamba alikidhi vigezo vyao kwahio hawautambui ukristo lakini hali ilivyo kwa mataifa ya kikristo ni kama wanajipendekeza sana kuwa karibu na waisrael ambao wao hawautambui ukristo .
Confused fellows
 
Ni kama upande wa pili wanavofosi kua waarabu huku waarabu wanawadharau
 
Ni kweli nami natambua hilo lakini uhalisia ni tofauti sana,

Waarabu katika uislam huonekana ndio icon kuu ya uislamu na ukitaka kuamini hili angalia tu hata tamaduni zao zinavyopewa kipaumbele kuzidi tamaduni za waumini hasa waafrika,,,,, kuanzia kuoa, mazishi, kukaa, n.k, hata majina wengi hufuta majina ya ukoo wanaweka la kiarabu.

Hata kwa dini tu waarabu nao hujiona ni superior, uarabuni kuna ubaguzi wa hali ya juu, hawaruhusu mabinti zao kuolewe na watu weusi kuzidi wao (wakiwemo wasomali), Labda uwe na mkwanja mrefu mno
Waarabu ubaguzi wao hata kipindi cha mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) Waliuonesha wazi wazi kuna visa kadhaa lakini labda niweke kimoja maarufu sana

1. Kuna swahaba wa mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) aliyekuwa muethiopia na alikuwa mweusi alijulikana kama bilal bin raba huyu ndo swahaba pekee aliyepiga adhana kwa mara ya kwanza na andiye aliyeoteshwa jinsi ya kupiga adhana fikiria mtume muhammad ( swala na salamu ziwe juu yake ) alisikia nyayo za swahaba huyu peponi .

Lakini kuna siku baadhi ya swahana waliitisha kikao kidogo na wote walikuwa waarabu bilal aliposogea kwenye kikao hicho wale swahaba wakambagua kwamba yeye si muarabu hivyo hawezi kuwa kwenye kikao hicho bilal alitoka analia hadi kwa mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake).

Mtune alipopata hizo taarifa alitoka na bilal hadi kwenye kile kikao na akamuamuru yule swahaba alale chali halafu akamwambia bilal akanyage uso wake kwa viatu vyake kuonesha kwamba hakuna aliye juu ya mwenzake kimuonekano wala kimali kwenye uislamu , lakini bilal alishindwa kukanyaga usi unaomsujudia Allah ( the almighty).

Kingine hata ukiangakia speech ya mwisho kabisa ya nabii muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) alipinga sana ubaguzi wa rangi sana sana sana na akasema mwenyezimungu anaangalia uchamungu na si rangi wala mali alizonazo mtu .

Kingine kuhusiana na kuiga mavazi na majina , kwanza ujue mtu unaweza kuvaa nguo yoyote alimradi iwe stara ila kwa sababu tunamuiga mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) basi ndiyo maana vazi la kanzu na niqab na hata majina imekuwa part kubwa ya maisha ya waislamu duniani kote.

Na ujue kuwa uislamu ni MFUMO WA MAISHA hivyo waislamu wanafuata kiigizo chema cha mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) ,alivyoishi maisha yake yote maana aliuishi uislamu halisi.
 
Baadhi ya waarabu ni waisilamu pia kitabu chetu kimeandikwa kwa kiarabu hata mtume wetu alikuwa muarabu hata biblia ilitolewa kwenye lugha yake ya asili na kuandikwa kwa kiswahili ifahamike lugha ya kiswahili maneno yake mengi ni ya kiarabu hata biblia maneno yake mengi yametoka kwenye kiarabu ni ngumu mkiristo kuamini lakini ndio ukweli heti lugha ya kiarabu ya majini huku biblia imeandikwa kwa lugha hiyo mnayo ita ya majini hata lugha mnayo itumia kila siku imetokana na lugha ya kiarabu wakirito wengi hananazo[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Lakini utaratibu huo ni wa waarabu waislamu wameukuta
 
Uislamu si dini ya waarabu wala hakuna muarabu ana mamlaka kwenye uislamu , uislamu ni dini ya Allah( subhana huwataala) acha kunasibisha mambo yasiyofanan hata kidogo .

Ndiyo quran imeshuka kwa lugha ya kiarabu ila hii hauufanyi uarabu ukawa ni taifa fulani kwa waislamu hakuna uhusiano huo .
Sasa kama allah hasikii ligha zaidi ya kiarabu waliokuletea dini ni waarabu mtume alikua muarabu mnavaa kanzu ni vazi la tamaduni ya kiarabu sasa iweje useme uislamu sio wa waarabu mbona unasema ukristo ni dini ya wazungu. Kibaya zaidi mnaenda kuhiji kwa waarabu mkidanganywa kupiga mawe shetani😂😂😂😂 na nyie mnaamini mnarusha mawe mpka mnauana
 
Waarabu ubaguzi wao hata kipindi cha mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) Waliuonesha wazi wazi kuna visa kadhaa lakini labda niweke kimoja maarufu sana

1. Kuna swahaba wa mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) aliyekuwa muethiopia na alikuwa mweusi alijulikana kama bilal bin raba huyu ndo swahaba pekee aliyepiga adhana kwa mara ya kwanza na andiye aliyeoteshwa jinsi ya kupiga adhana fikiria mtume muhammad ( swala na salamu ziwe juu yake ) alisikia nyayo za swahaba huyu peponi .

Lakini kuna siku baadhi ya swahana waliitisha kikao kidogo na wote walikuwa waarabu bilal aliposogea kwenye kikao hicho wale swahaba wakambagua kwamba yeye si muarabu hivyo hawezi kuwa kwenye kikao hicho bilal alitoka analia hadi kwa mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake).

Mtune alipopata hizo taarifa alitoka na bilal hadi kwenye kile kikao na akamuamuru yule swahaba alale chali halafu akamwambia bilal akanyage uso wake kwa viatu vyake kuonesha kwamba hakuna aliye juu ya mwenzake kimuonekano wala kimali kwenye uislamu , lakini bilal alishindwa kukanyaga usi unaomsujudia Allah ( the almighty).

Kingine hata ukiangakia speech ya mwisho kabisa ya nabii muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) alipinga sana ubaguzi wa rangi sana sana sana na akasema mwenyezimungu anaangalia uchamungu na si rangi wala mali alizonazo mtu .

Kingine kuhusiana na kuiga mavazi na majina , kwanza ujue mtu unaweza kuvaa nguo yoyote alimradi iwe stara ila kwa sababu tunamuiga mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) basi ndiyo maana vazi la kanzu na niqab na hata majina imekuwa part kubwa ya maisha ya waislamu duniani kote.

Na ujue kuwa uislamu ni MFUMO WA MAISHA hivyo waislamu wanafuata kiigizo chema cha mtume muhammad (swala na salamu ziwe juu yake) ,alivyoishi maisha yake yote maana aliuishi uislamu halisi.
Uislamu halisi ni kuzini na wanawake 1000 kwa usiku mmoja uislamu halisi ni kuua wengine uislamu halisi ni kudanganya wengine kwamba allah hasikii lugha zaidi ya kiarabu. Acheni ujinga wavaa kobasi mnakwama wapi
 
Punguza mihemko, jadili kwa hoja.
 
Back
Top Bottom