Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

Zaburi 87:1-7
[1]Msingi wake upo
Juu ya milima mitakatifu.

[2]BWANA ayapenda malango ya Sayuni
Kuliko maskani zote za Yakobo.

[3]Umetajwa kwa mambo matukufu,
Ee Mji wa Mungu.

[4]Nitataja Rahabu na Babeli
Miongoni mwao wanaonijua.
Tazama Filisti, na Tiro, na Kushi;
Huyu alizaliwa humo.

[5]Naam, mintarafu Sayuni itasemwa,
Huyu na huyu alizaliwa humo.
Na Yeye Aliye juu
Ataufanya imara.

[6]BWANA atahesabu, awaandikapo mataifa,
Huyu alizaliwa humo.

[7]Waimbao na wachezao na waseme,
Visima vyangu vyote vimo mwako.

NetMaster ukiupenda UKRISTU utapata majibu yote katika maisha, hakika ukristu ni njia ya KWELI NA UZIMA lakini tangu kale Mungu huwatambua hata wale walio mbali na neema

Wakristu hupaswa kutangaza ujumbe wa umoja katika mataifa ndo maana wote walio katika tumaini la maisha Wana nafasi katika neema ya MUNGU BABA, (YAHWEH), MUNGU MWANA (YESU) na MUNGU ROHO MTAKATIFU

(Ungekuwa na neema ya Mungu ungenielewa)

KRISTU, TUMAINI LETU
 
Una comment gan kuhusu wanaoswali mwa siku mara 5 kwa kiarabu na hicho kiarab chenyew wanajua salwaleykum th hawajui stuli kiarabu inaitwaje
 
Inaonekana unajisikia vibaya sana ukisikia mtu anasema kiarabu ni lugha ya majini
 
Mnaoshupazaga shingo kubishana mambo ya dini za wazungu na waarabu nawaonaga kama ni kina "hazintoshi" bora mbishane siasa na simba na yanga
Ukiwa hauna tumaini katika maisha unakuwa ni sawa na mnyama, Jambo sana katika maisha ni kuwa mlioharibiwa mnapenda na wengine waharibikiwe

Endelea kuifanya siasa na Simba na Yanga ndo msingi wako wa maisha
 
Watanzania tuna shida sana. Kwani hao Wakristo wanapojipendekeza huko Israel; wewe kama wewe unapungukiwa nini?
 
Ukiwa hauna tumaini katika maisha unakuwa ni sawa na mnyama, Jambo sana katika maisha ni kuwa mlioharibiwa mnapenda na wengine waharibikiwe

Endelea kuifanya siasa na Simba na Yanga ndo msingi wako wa maisha
Kuona dini hii ni bora hii sio bora ndio msingi wa maisha???
Hizi dini zinatuvuruga tu hakuna la maana narudia hakuna la maana, zinatutoa akili....kwaheri sipendi mijadala ya dini
 
Kuona dini hii ni bora hii sio bora ndio msingi wa maisha???
Hizi dini zinatuvuruga tu hakuna la maana narudia hakuna la maana, zinatutoa akili....kwaheri sipendi mijadala ya dini
Dini ni chombo tu waendeshaji na wasafiri ndo Wana matatizo ila kujiepusha na mijadala ni Jambo bora zaidi kuliko yote
 

Israeli forces attack Christians ahead of Holy Fire ceremony​

 
Hii ni stage mbaya kabisa ya ugonjwa unaoitwa udini
 
Sio wakristo wote. Huwezi kuta RC au SDA kabeba bendera ya Israel. Ni wapumbavu wachache wanaojiita makanisa ya kiroho ndo wana huo ushenzi wa kujipendekeza kwa waisrael. Kuna sumu wamelishwa kuwa Israel ni taifa teule. Hawana tofauti na wateja wa Kalynda.
 
Hili jukwaa linapoelekea kuna kitu kinapikwa kila siku mnasingizana na kutukanana dini zenu wenzenu hawana habari na ninyi
 
Wakristu hawaendi kwa waisraeli wanakwenda israeli alikozaliwa Yesu, na si hivyo tu huenda Misri, Irani na nchi nyingine za mashariki ya kati ambako Josefu na Marimu walikotokea pia Yesu alikotembelea.
 
Kuna tofauti kati ya Judaism na Israel, wakristo hawahangaiki na Dini ya Waisraeli wao wana mfuata Kristo ambo waisra (sio wote) hawakumkubali maana matarajio ya Kuja kwa Masiya kungewaondoa kwenye utumwa wa Roman empire (kimwili) ila haikuwa hivyo Yesu alikuja kututoa kwenye kongwa na utumwa wa dhambi na kurudisha uhusiano wa wanadamu na Mungu
 
Wayahudi wa israel wakristo ni asilimia 1 tu,
 
Mguse Izrael muone waliopo nyumba yake.

Mmejitahidi kumpakazia mpaka mkaita jina lake kuwa eti ni Mtoa ROHO eti ndio anayenyofoa roho za watu na eti ndio anachapa viboko maiti makaburini😄😄😄

Sisi tunatekeleza agizo la Mwenye Enzi Mungu (na sio Mnyanzi) kuwa IZRAEL ni Taifa teule na Takatifu la Mungu, ama wanatutambua ama hawatutbui sio letu. Mungu akiishasema Mimi ni nani nisimheshimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…