Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
Zaburi 87:1-7
[1]Msingi wake upo
Juu ya milima mitakatifu.
[2]BWANA ayapenda malango ya Sayuni
Kuliko maskani zote za Yakobo.
[3]Umetajwa kwa mambo matukufu,
Ee Mji wa Mungu.
[4]Nitataja Rahabu na Babeli
Miongoni mwao wanaonijua.
Tazama Filisti, na Tiro, na Kushi;
Huyu alizaliwa humo.
[5]Naam, mintarafu Sayuni itasemwa,
Huyu na huyu alizaliwa humo.
Na Yeye Aliye juu
Ataufanya imara.
[6]BWANA atahesabu, awaandikapo mataifa,
Huyu alizaliwa humo.
[7]Waimbao na wachezao na waseme,
Visima vyangu vyote vimo mwako.
NetMaster ukiupenda UKRISTU utapata majibu yote katika maisha, hakika ukristu ni njia ya KWELI NA UZIMA lakini tangu kale Mungu huwatambua hata wale walio mbali na neema
Wakristu hupaswa kutangaza ujumbe wa umoja katika mataifa ndo maana wote walio katika tumaini la maisha Wana nafasi katika neema ya MUNGU BABA, (YAHWEH), MUNGU MWANA (YESU) na MUNGU ROHO MTAKATIFU
(Ungekuwa na neema ya Mungu ungenielewa)
KRISTU, TUMAINI LETU